Hivi hii ni kweli au ananitega? Ushari wenu ni muhimu

Hivi hii ni kweli au ananitega? Ushari wenu ni muhimu

single mama wa siku hizi niwa kuforce na wakikata tamaavunawasikia mimi nikipata mtoto natulia tuli sina mpango wa mume.
Angalie utaitwa baba bila we kupanga.
 
Mkuu ilikuwaje mkapotezana alikumwaga au ulimwaga???. Hana mume??

Umekosa nini mpka ukaokote mzoga wa miaka 10 iliyopita. kuna kitu kinamkimbiza huko atokako atakuletea magonjwa kama si mikosi ailiyoikusanya kwa vidume wengine.

ukishindwa mpime mimba, ukimwi, kaswende na gonoria maana tafiti zinaonyesha hata haya magonjwa vimelea vimekuwa sugu kwa dawa
 
Mkuu hata kama akapima nakushauri usimpige kavukavu.. force tu na huo mpira
 
Dah... Kwa hili bora ujipime akili kwanza kabla hujampima ngoma... [emoji13] [emoji13]

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
kuwa makini.wasichana wengi wakishaona ABC kwingne zimekaa vibaya wanrud kwa watu wao wa zamani,so ukimwambia kupima atapima bila shida lakini ujue huo ni mtego wa mimba na akinasa usumbufu wake utakoma,ni bora umkatae au usile mzigo,mana kuna siku utaingia kwenye 18 zake utakuja juta
 
Uhaba wa papuchi ni tatizo wakati mwingine.
 
Magufuli ataua watu... Alegeze kamba aiseee
 
single mama wa siku hizi niwa kuforce na wakikata tamaavunawasikia mimi nikipata mtoto natulia tuli sina mpango wa mume.
Angalie utaitwa baba bila we kupanga.
Ushauri wako?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
single mama wa siku hizi niwa kuforce na wakikata tamaavunawasikia mimi nikipata mtoto natulia tuli sina mpango wa mume.
Angalie utaitwa baba bila we kupanga.
Ushaur wako?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ilikuwaje mkapotezana alikumwaga au ulimwaga???. Hana mume??

Umekosa nini mpka ukaokote mzoga wa miaka 10 iliyopita. kuna kitu kinamkimbiza huko atokako atakuletea magonjwa kama si mikosi ailiyoikusanya kwa vidume wengine.

ukishindwa mpime mimba, ukimwi, kaswende na gonoria maana tafiti zinaonyesha hata haya magonjwa vimelea vimekuwa sugu kwa dawa
Mkuu tulipoteza pindi mm niliondoka kijijni kwenda masomoni nlimuacha akiwa darasa la 7 aliporudi kijijini juzi ndo amepewa no angu. Nashukuru kwa ushauri wako

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Trust no one... Kanunue kipimo sijui ni f5 tu

Starehe ya masaa inaweza haribu ndoto zako

Cc Smart911
Ni kweli... Starehe ya dakika inaweza vuruga kila kitu...

Mara nyingi sisi wanaume ndiyo hukwepa hayo makitu... Ila kama mwanamke hayataki mwenyewe... The guy has to be careful...
 
Mkuu tulipoteza pindi mm niliondoka kijijni kwenda masomoni nlimuacha akiwa darasa la 7 aliporudi kijijini juzi ndo amepewa no angu. Nashukuru kwa ushauri wako

Post sent using JamiiForums mobile app

Dah basi huyo anatafuta mume tu i guess now she can be in her 20's. Kama unamzimia na yuko single na unaweza weka ndani.

Usishoboke fanya taratibu zote za vipimo. unless kama unasafisha nyota tu, tumia kinga mkuu familia sisi wa vijijini familia zinatutegemea sana.
 
USISAHAU KATERERO MKUU , HUKU UNAMCHEZEA NYUMA YA MAGOTI.....KILA LA KHERI
 
Huyu msichana wangu wa zamani nina miaka 10 sijaonana. Amepanga kuja kunitembelea na kukaa siku 3 cha kushangaza na kinachonitia wasiwasi ni pale nilipomugusia suala la mgemgedo akanambia tena kweli nimemkumbusha akija hataki nitumie mpira maana yale mafuta ya ndomu yanamuumiza sana tumbo na inaeza chukua siku 3 anaumwa.

Nami nikamweleza tutaaminiana vipi na mda mrefu hatuonani. Akaniambia ni mimi tu wasiwasi wangu. Sasa nami nikaona isiwe shida nikamwambia akija tu salamu ya kwanza akapime na vipimo nichukue mwenyewe amekubali kwa moyo mmoja. Lakini binafsi nafsi bado inanisuta, nifanyeje ili nijihakikishie % na mgegedo siwezi acha hiyo kesho.

Je ananitega mimba au ana lake jambo?

Ushauri wenu jamani. Sitaki matusi.

Nawasilisha.

Post sent using JamiiForums mobile app
Idiot
 
Ten good years?????

Bro!!! Miaka mitatu pekee inatosha kumbadili mtu kitabia.

Bro miaka mitatu inatosha kabisa kumbadili kuja kuwa mlevi mbwaaa!!!!

Sasa wewe bro miaka 10???

Ndani ya miaka kumi anaweza kuwa amezaa watoto hata 4.
 
Back
Top Bottom