Mimi nadhani maana yake ni kuwa wanaume mara nyingi wanakuwa hawana upendo wa dhati wa kutoka moyoni mpaka kwanza avutiwe na tendo la ndoa.Mara nyingi wanaongozwa na tamaa na sio upendo.
Wanawake ni tofauti anampenda mtu bila kuwega vigezo vya kufurahishwa na tendo la ndoa.Lakini ule upendo wake wa dhati unamfanya wakati mwingine afanye sex na mafisadi wa mapenzi na hatimaye anaumizwa.
Kumbukeni kuwa mapenzi is not all about sex.
hayo ni mawazo yangu tumsubiri Nyamayao
Nimekugongea thenks kwa sababu ya hiyo red! You have said it quite well.
Ndio maana na mimi nakupendea hapo! if yu no wara ai mean!
Ziondaughter,lakini wanaume huwa 2nafall in love hata kabla ya sex,kwani ninapomfuata binti ina mana nimempenda,sex comes baada ya kuwa na huyo binti na 2meshakubaliana mambo kadhaa,mpaka anakubali kunipa penziMimi nadhani maana yake ni kuwa wanaume mara nyingi wanakuwa hawana upendo wa dhati wa kutoka moyoni mpaka kwanza avutiwe na tendo la ndoa.Mara nyingi wanaongozwa na tamaa na sio upendo.
Wanawake ni tofauti anampenda mtu bila kuwega vigezo vya kufurahishwa na tendo la ndoa.Lakini ule upendo wake wa dhati unamfanya wakati mwingine afanye sex na mafisadi wa mapenzi na hatimaye anaumizwa.
Kumbukeni kuwa mapenzi is not all about sex.
hayo ni mawazo yangu tumsubiri Nyamayao
"MEN FALL IN LOVE THROUGH SEX BUT WOMEN FALL IN SEX THROUGH LOVE"
kwa mtazamo wangu naona wanaume wengi wana fall in love baada ya sex, unaweza kukuta mdada mzuri mrembo lakini wakija kwenye mambo ya sex yupo kama hayupo hapo kuna uwezekano wa man kukatisha mahusiano, hapo mnapotongoza mnaongozwa na matamanio zaidi, kwa wanawake wengi ukitakata a fall ni kumuonyesha love ya kikweli, hata kama kwenye mambo mengine utakuwa zero lakini atapenda ile true love inayotoka kwako....cjui kama nimeeleweka.
Ziondaughter,lakini wanaume huwa 2nafall in love hata kabla ya sex,kwani ninapomfuata binti ina mana nimempenda,sex comes baada ya kuwa na huyo binti na 2meshakubaliana mambo kadhaa,mpaka anakubali kunipa penzi
au hapo unasemaje?

Kakaangu kusema ukweli kabisa wa moyoni hao wanaume unasema wanapenda kwanza ni wachache saaaaaaaaaaana.Wengi ni tamaa na sio kupenda japo wenyewe watadhani wanapenda.
Na kama kweli ulipenda kwanza kwa nini baada ya tendo tu la sex umuacheee?Wanawake wengi wanaachwa baada ya sex.na wanaume wanasema hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia,unadhani hii wanamaanisha nini?
hahaaaaa, hapo umenena, ntatafuta kitufe cha senksi badae.
ila mie wifi yako nilimpenda kikweli kweli toka moyoni, huwezi amini baada ya kunikubali tulikaa miezi 3 ndio nikala tunda, halafu lilikua tamu balaa upendo ndio ukawa mara 100% (sore, OT)
Kakaangu kusema ukweli kabisa wa moyoni hao wanaume unasema wanapenda kwanza ni wachache saaaaaaaaaaana.Wengi ni tamaa na sio kupenda japo wenyewe watadhani wanapenda.
Na kama kweli ulipenda kwanza kwa nini baada ya tendo tu la sex umuacheee?Wanawake wengi wanaachwa baada ya sex.na wanaume wanasema hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia,unadhani hii wanamaanisha nini?
Access vipi? (Sore, OT)
Ni kweli kabisa.na kama wakifanikiwa kufunga ndoa anajua hawezi tena kumuacha mkewe anaishia nyumba ndogo na vimada.ZD uliyoyaandika ni ya kweli kule si kupenda ni kutamani lkn huwa kwa sababu ya usanii basi utasema NAKUPENDA kweli kweli, ukishamega sasa ile tamaa inakuwa imekwisha, unajikuta unasema aah kumbe demu mwenyewe wa kawaida tuu, na mambo mengi tu, unajikuta hata ile hamu ya kuwa naye haipo tena ndo hapo U turn inapotokea