hivi hii ni sawasawa?

hivi hii ni sawasawa?

Remmy

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2009
Posts
4,701
Reaction score
1,803
jamni wana JF tubadilishane mawazo, nnimeona kama vyuo vikuu 2 specifically SUA na Mzumbe kufundishwa na Proffessors wazee kabisa hadi wanatia huruma darasani wakati vijana waliograduate na masters zao ni wengi sana, sasa sielewi ni kweli wamekosa manpower au? kwa mfano mzuri tunafundishwa na Mhindi mmoja mzee kwelikweli, tembea yake ya shida anapengo na lafudhi yake ni yashida sana kumuelewa, akitoka kwenye lecture naambulia less than 50%. najiuliza sana if we donot have qualified people who could replace this honourable.
 
Back
Top Bottom