EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
- Thread starter
-
- #21
zilikuwa ni bus nzuri zinaenda au ni yale maskrepaWakati huo barabara ilikua ya vumbi ila yenye kuchongwa vizuri na kulikua na bus mbili (super service na Ally said kama sijachanganya majina ) na zilikua zinapisha siku moja moja. Tatizo (kwa wakati huo) bus ndani linajaa viroba/ vipetu vya mchele na kila kijiji linasimama (pandisha shusha kama daladala). Pia sitasahau burudani kutoka kwa ndungu zetu wa kanda ya ziwa maana walikua wanaimba nyimbo za kwao usiku ule na kutufanya tusahau karaha na kero ya safari.
Kwahiyo ili nifike singida nichukue basi la dodoma ,kwamba nifikifika dodoma nachukua usafiri wa singida au pengine kuna bus ambazo destination yake ni singida, au kuna basi za masafa marefu zaidi zinapita singida
Za kawaida tu mkuu kwa kipindi hicho. Ila nasikia kuna lami mpaka Chunya siku izi, kwa upande wa singida huko sijajua.zilikuwa ni bus nzuri zinaenda au ni yale maskrepa
Umewahi kuipita hii njia mkuu
Hii njia utakifika Chunya, kuna njia ya kutokea Itigi. Sema ni seasonal road, barabara haipitiki muda wote. Ni njia fupi sana kama ikitengenezwaNataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya
Singida - Mbeya route
View attachment 1457362
Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida route
View attachment 1457369
Kuna njia unarudi mpaka Iringa halafu unakuja kutokea dodoma then singidaNataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya
Singida - Mbeya route
View attachment 1457362
Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida route
View attachment 1457369
Ndio hapa nilikuwa hatafakari kati ya hii na ile ya dodoma ipi ni the best routeKuna njia unarudi mpaka Iringa halafu unakuja kutokea dodoma then singida
Wakati wa mvua inaonekana ni tafrani iwapo haina lamiHii njia utakifika Chunya, kuna njia ya kutokea Itigi. Sema ni seasonal road, barabara haipitiki muda wote. Ni njia fupi sana kama ikitengenezwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingi 2009 ilikuwa chafu Sana+ ile ya manyoni itigiUmewahi kuipita hii njia mkuu