EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
- Thread starter
- #21
zilikuwa ni bus nzuri zinaenda au ni yale maskrepaWakati huo barabara ilikua ya vumbi ila yenye kuchongwa vizuri na kulikua na bus mbili (super service na Ally said kama sijachanganya majina ) na zilikua zinapisha siku moja moja. Tatizo (kwa wakati huo) bus ndani linajaa viroba/ vipetu vya mchele na kila kijiji linasimama (pandisha shusha kama daladala). Pia sitasahau burudani kutoka kwa ndungu zetu wa kanda ya ziwa maana walikua wanaimba nyimbo za kwao usiku ule na kutufanya tusahau karaha na kero ya safari.