Hivi hii tunaiitaje kitaalamu?

Hivi hii tunaiitaje kitaalamu?

Misunderstood

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2020
Posts
384
Reaction score
884
Nimetoka kazini nimeshuka zangu kituoni paaap! Ghafla namuona ex wangu ambae hatujaonana takriban mwaka naaa hivi!

Asee nikapanic bila kujielewa nikaingia dukani nikaanza kununua vitu ambavyo sivihitaji ilimradi nisionane nae, nimenunua mivitu kibao ili nipoteze muda!

Kutoka kumbe ameniona ananisubiri kwa nje! Baada ya tukio zima sasa nimeanza kujiuliza kilichonisukuma hasa kufanya hivo ni nini? Uoga? Pressure? Nifanyaje sikuingine nisiingie hasara wajameni

Alafu habari zenu!
 
Ha ha ha haiwezekani upate kimuhemuhe cha hivo then au anakukumbusha mbali yaani unahisi hata ukiongea nae unalainika [emoji1787][emoji1787]

Eh hta wakat naongea nae nilikuwa siongei vitu vya kueleweka! Ila kumpenda simpendi! Hatar
 
Back
Top Bottom