Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 384
- 884
Hiyo inaitwa Draw No bet
Bado unampenda na unahisia nae au usingewehuka hivo!
Ha ha ha haiwezekani upate kimuhemuhe cha hivo then au anakukumbusha mbali yaani unahisi hata ukiongea nae unalainika 🤣🤣Kusema kwel simpendi bas tu sikutegemea kumuona na nimeingia hasara jmn
Lol mimi ex kaniapia kabisa tukionana tu eti niandae trak.o (sorry typing error)
Ha ha ha haiwezekani upate kimuhemuhe cha hivo then au anakukumbusha mbali yaani unahisi hata ukiongea nae unalainika [emoji1787][emoji1787]
Ulikuwa unampa hiyo kitu before?
Aisee itakua ulikua unamnyima weweLol mimi ex kaniapia kabisa tukionana tu eti niandae trak.o (sorry typing error)
Hiyo ni pie! Unamuita mtu ex kivipi sasa
Okey...basi ulipata mshtuko labda hukutegemea kuonana nae yaani ulikuwa nervous!Eh hta wakat naongea nae nilikuwa siongei vitu vya kueleweka! Ila kumpenda simpendi! Hatar