Hivi hii tunaiitaje kitaalamu?

Tafuta hela mzee

Hali aliyokuacha nayo inaonekana umekuwa mchovu zaidi.Unajistukia stukia
 
Ex ukimpenda unapanic Fresh tu Mbona.. sema mie.. huwa nawakodolea macho maana kila tukikutana nawaona wachovu zaidi ya Jana.
 
Mwaka umepita humpendi tena alafu bado ukimuona unamtambua? Hapana siwezi ningekuwa ni mimi nampa salam kawaida naendelea na mambo yangu. Ona sasa adi unamuanzishia uzi inaonesha bado unampenda.
 
Hatudaiani! Sema tu sielewi! Bora ningejificha tu sehemu ila hadi kuingia hasara ya kununua vitu nisivovitaka! Inatia shaka
Kujificha ndo nini mkuu,,kutana nae muombe mkapashe kipolo afu kila mtu aishi vyake
 
Bado unampenda sema wivu ndio umekutawala moyoni
 
Mi kila nikikutana na Diana wa Mbagala lazima anifanyie vurugu anijazie shazi


Hivi wanawake mbona mnakua na.kisasi ? Mtu unamfanya ex kama adui
 
Itakuwa 4-4-2 au tackling
 
Tuambie kwanza mliachanaje? Inaonekana ulimfanyia jambo baya la fedhea ndio maana hutaki kuonana nae au labda ata ulishamuibia kipindi cha nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…