Hivi hii work placements system inaweza kufanya kazi kwetu Tanzania?

Hivi hii work placements system inaweza kufanya kazi kwetu Tanzania?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hello JF,

Nadhani nishawahi kulileta before..

Ningependa kuona serikali yetu.. ina invest kwenye skills za vijana/graduates wetu...

Kwa mfano Jeshi lingefutwa, badala yake vijana watafutiwe ajira zile za temporary...

3-6 Months! za masomo waliyosomea

Hio hela inayotumika kuwa train vijana waweze kuwa 'wakakamavu'

Ingetumika kuwalipa Makampuni yanayoajiri vijana hawa..

Badala ya cheti cha uanajeshi unakua na cheti cha 'work experience'

Kabla hamjanipopoa tazameni hii link hapa chini

WORK PLACEMENT SYSTEM
 
Hii mifumo ya kikoloni tuliyorithi na kukaririshwa sijui kama itakuja kufutika
 
Back
Top Bottom