Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,136 Reaction score 32,268 Sep 4, 2020 #1 Hello JF, Nadhani nishawahi kulileta before.. Ningependa kuona serikali yetu.. ina invest kwenye skills za vijana/graduates wetu... Kwa mfano Jeshi lingefutwa, badala yake vijana watafutiwe ajira zile za temporary... 3-6 Months! za masomo waliyosomea Hio hela inayotumika kuwa train vijana waweze kuwa 'wakakamavu' Ingetumika kuwalipa Makampuni yanayoajiri vijana hawa.. Badala ya cheti cha uanajeshi unakua na cheti cha 'work experience' Kabla hamjanipopoa tazameni hii link hapa chini WORK PLACEMENT SYSTEM
Hello JF, Nadhani nishawahi kulileta before.. Ningependa kuona serikali yetu.. ina invest kwenye skills za vijana/graduates wetu... Kwa mfano Jeshi lingefutwa, badala yake vijana watafutiwe ajira zile za temporary... 3-6 Months! za masomo waliyosomea Hio hela inayotumika kuwa train vijana waweze kuwa 'wakakamavu' Ingetumika kuwalipa Makampuni yanayoajiri vijana hawa.. Badala ya cheti cha uanajeshi unakua na cheti cha 'work experience' Kabla hamjanipopoa tazameni hii link hapa chini WORK PLACEMENT SYSTEM
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 4, 2020 #2 Hii mifumo ya kikoloni tuliyorithi na kukaririshwa sijui kama itakuja kufutika