Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Kachi himu andi teki himu to polisi.One hundred and fifty million TZS.Kilikuja na meli. Pale Udsm mwalimu anaongea Kinge akiwa darasani tu. Mkitoka nje ni kiswahili mpaka nyumbani. Mtu Kinge anaongea asilimia 3 ,Kiswahili asilimia 97.
Kiingereza ni lugha ya mawasiliano ya wasomi tanzania. Kwa levo yake ya usomi na kiingereza chake haviendani. Hiyo PHD atakuwa ameletewa nyumbaniWakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are going to stay on the cell.Kachi himu andi teki himu to polisi.
Eti kaweka tafsiri ya moja kwamoja kwamba "utakaa ndani" aiseee!! Huyu ndo msomi daaah bongo nehinehi!You stay inside
Kwahiyo unataka nikubaliane na watu humu kwamba profesa hajui lugha ya kiingereza?Tafakari sana tena sana utaelewa kitu..
Hivyo eeh?
Kwani profesa hajui kiingereza au hawezi kuongea vizuri kiingereza?Kiingereza ni lugha ya mawasiliano ya wasomi tanzania. Kwa levo yake ya usomi na kiingereza chake haviendani. Hiyo PHD atakuwa ameletewa nyumbani
Hiki nacho ni cha kawaida???Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza cha kuandika na kushindwa kuongea ni matatizo ambayo yapo sehemu nyingi na sie huku kiswahili ndio kinaongelewa muda mwingi.ahsanteni kwa michango mizuri lakini kuna haya hapa
1. kama unaamua kutumia lugha iyumie ipasavyo na hasa kama hiyo umefundishwa na inahitajika uitumie mfano kiingereza. kama angejitahidi kuongea kichina hakuna shaka ama yule balozi wa canada anayjitahidi kiswahili no one will blame her. lakini kwa tz ukiongea broken english kuna tatatizo!! maaan ni official langauage za nchi hii
Hivyo prof ilibidi aamue kuanza na kiswahili na kumaliza na kiswahili hakuna lawama. ama english tena fluent mwanzo mwisho hivyo kuna shida Kiswangishi kinatumaliza!! soon tutakuwa kama watu wa jamaiza na trinidad and tobago
2. wengi wetu kiiingereza cha kuandika na kuongea vitu viwili tafauti! mwambie prof akuandikie paper!! utapenda !
hivyo suala, linabkia kwa mtu mwenyewe mtumiaji wa lugha
kwamba mlitaka aongee kama anakunywa maji, sema lafudhi zetu za makabila zinafanya kiingereza kutoteleza kwenye ulimi. sijaona shida sana hapo
Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijamkashifu Prof na siko ktk kutetea au kushabikia huo muelekeo, labda kama uelewa wako ni shidaKakosea wapi au umekariri sound za filamu za kifilipino unataka mama aongee hivyo au ujui kuna east africa english ujui acheni ushamba wenu mama kakosea nini fluent inawadatisha mama anatoa sentensi zenye maana na hazina makosa kisarufi uko kuongea kwake kwa kustop stop ndio hajui au msimchukulie pouwa mama yupo vizuri
Hoja yangu ni kwamba kuna tofauti kati ya mtu kutojua kiingereza na kushindwa kuongea vizuri kiingereza,na ndiyo maana sishangi kuona profesa kushindwa kuongea vizuri kiingereza.