Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Usipeme elimu ya mtu kwa kuangalia lugha..

Use common sense . Uzi kama huu mimi siwezi kuandika kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.

I see no problem there.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza ni lugha ya mawasiliano ya wasomi tanzania. Kwa levo yake ya usomi na kiingereza chake haviendani. Hiyo PHD atakuwa ameletewa nyumbani
 
ahsanteni kwa michango mizuri lakini kuna haya hapa
1. kama unaamua kutumia lugha iyumie ipasavyo na hasa kama hiyo umefundishwa na inahitajika uitumie mfano kiingereza. kama angejitahidi kuongea kichina hakuna shaka ama yule balozi wa canada anayjitahidi kiswahili no one will blame her. lakini kwa tz ukiongea broken english kuna tatatizo!! maaan ni official langauage za nchi hii
Hivyo prof ilibidi aamue kuanza na kiswahili na kumaliza na kiswahili hakuna lawama. ama english tena fluent mwanzo mwisho hivyo kuna shida Kiswangishi kinatumaliza!! soon tutakuwa kama watu wa jamaiza na trinidad and tobago

2. wengi wetu kiiingereza cha kuandika na kuongea vitu viwili tafauti! mwambie prof akuandikie paper!! utapenda !

hivyo suala, linabkia kwa mtu mwenyewe mtumiaji wa lugha
 
Kiingereza ni lugha ya mawasiliano ya wasomi tanzania. Kwa levo yake ya usomi na kiingereza chake haviendani. Hiyo PHD atakuwa ameletewa nyumbani
Kwani profesa hajui kiingereza au hawezi kuongea vizuri kiingereza?
 
Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.

I see no problem there.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki nacho ni cha kawaida???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahsanteni kwa michango mizuri lakini kuna haya hapa
1. kama unaamua kutumia lugha iyumie ipasavyo na hasa kama hiyo umefundishwa na inahitajika uitumie mfano kiingereza. kama angejitahidi kuongea kichina hakuna shaka ama yule balozi wa canada anayjitahidi kiswahili no one will blame her. lakini kwa tz ukiongea broken english kuna tatatizo!! maaan ni official langauage za nchi hii
Hivyo prof ilibidi aamue kuanza na kiswahili na kumaliza na kiswahili hakuna lawama. ama english tena fluent mwanzo mwisho hivyo kuna shida Kiswangishi kinatumaliza!! soon tutakuwa kama watu wa jamaiza na trinidad and tobago

2. wengi wetu kiiingereza cha kuandika na kuongea vitu viwili tafauti! mwambie prof akuandikie paper!! utapenda !

hivyo suala, linabkia kwa mtu mwenyewe mtumiaji wa lugha
Kiingereza cha kuandika na kushindwa kuongea ni matatizo ambayo yapo sehemu nyingi na sie huku kiswahili ndio kinaongelewa muda mwingi.
 
No, there is a problem!
Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.

I see no problem there.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakosea wapi au umekariri sound za filamu za kifilipino unataka mama aongee hivyo au ujui kuna east africa english ujui acheni ushamba wenu mama kakosea nini fluent inawadatisha mama anatoa sentensi zenye maana na hazina makosa kisarufi uko kuongea kwake kwa kustop stop ndio hajui au msimchukulie pouwa mama yupo vizuri
Mimi sijamkashifu Prof na siko ktk kutetea au kushabikia huo muelekeo, labda kama uelewa wako ni shida
 
Advance payment nani hii milioni mia moja hamsini,You are going to stay on the cell until you provide full explanation of money , because now you can not playing the government like this .Last time I came here you had here the equipment like enough to dodoma, you drop the equipment and then you have taken the equipment to another site.So you are going to stay inside until you give full instruction for the equipment that you have taken to dodoma.To come back here make sure that you have you are sufficient......................................

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angeongea Fluently kama anakunywa maji bado watu mngegongea tu

Angeongea kiswahili then mwingine atafsiri kama mtakavyo bado mngeongea tu

Ki ufupi hamna jema kwa binadamu hasa binadamu wanaoishi Tanzania,Hakuna

utakaloweza kufanya wakakupongeza,Watu hamuangalii AIM ya waziri kukasirika

Mpo ku discuss lugha ingereza kinachotumika wakati kuna lijitu hapo limefuja hela

90mil kajenga mabanda kama hayo,Jadilini makosa ya huyo mchina basi tujue nanyi ni wa TZ

Mna uchungu na mali zenu,ila kwa mnachoendelea sitoshndwa sema nipo na wakimbizi hapa.
 
Khan,
Usi mtetee! hajui ni hajui tu, hicho si kiingereza cha kawaida, wasomi wote wa juu kama Prof, Madaktari n.k wana presentations za kila mara tena zilizo tukuka, lazima uijue Grammar vizuri, ucheze na lugha, ina credit zake ujue! maswali ni tit for tat!

Kama ni Mathematician aongee professional English ya ki mathematician, Mfano angekuwa Medical Doctor angesema hivi '' this building is very Myopic, you should be confined in Mitochondrion cell membrane, till every thing resolved! USITUDANGANYE BANA!
 
Hoja yangu ni kwamba kuna tofauti kati ya mtu kutojua kiingereza na kushindwa kuongea vizuri kiingereza,na ndiyo maana sishangi kuona profesa kushindwa kuongea vizuri kiingereza.

Duuuuu, haya bana. Ila nadhani kwenye huu uzi kaupata mrejesho, zile nyodo itabidi akajipange upya.
 
Back
Top Bottom