Igangilonga
Senior Member
- Mar 11, 2006
- 133
- 27
Kuna uwezekano mkubwa wa mtu kujua lugha kuiandika na usiwe mzuri katika kuizungumza lugha hiyo.... Kwaiyo kusoma hadi uprofesa haina maana ndio unajua kiingereza zaidi kuliko aliyeishia sekondari tu!!Shida ni kwamba huo uprofesa kaupata kwa kutumia Kingereza kama lugha ya kufundishia na siyo kichina wala kiswahili...
kwaiyo umekubaliana na mimi kuwa hata wewe ni kopo mwenzangu!! Lugha sio ujuzinawewe ndio kopo kabisa, SGR wanajenga waturuki, lakini ujue kiingereza sio dili kiivyo, 34% tu ya watu duniani ndio huongea kiingereza. ureno spain ukienda unaongea kiingereza wala hawakuelewi
Canada imegawanyika mara 2, kuna wanakozungumza kifaransa na kuna wanakozungumza kingereza. Obviously kasoma wanakozungumza Kingereza lakini bado anashindwa master lugha aliyotumia kupata hiyo elimu mimi kwangu ni ajabuhuyu mheshimiwa degree ya pili na tatu kasoma Canada, nadhani alighafirika tu
ha ha haaaa kwaiyo kujua kiingereza kunajustify mtu kuwa msomi?Muanzisha thread kajikita kwenye lugha siyo maamuzi aliyo chukua ndalichako dhidi ya mchina... hapa tunajadiri lugha na wasiwasi wa usomi wake
Mkuu hatusemi azungumze kingereza ka mwingereza, lakini kwa jinsi anavyo zungumza hapo nina mashaka hata kama akisoma kitabu anaelewaKuna uwezekano mkubwa wa mtu kujua lugha kuiandika na usiwe mzuri katika kuizungumza lugha hiyo.... Kwaiyo kusoma hadi uprofesa haina maana ndio unajua kiingereza zaidi kuliko aliyeishia sekondari tu!!
Hivi china na russia hamna maprofesa vitabu vya science vimeandikwa kwa lugha za kwao?Shida ni kwamba huo uprofesa kaupata kwa kutumia Kingereza kama lugha ya kufundishia na siyo kichina wala kiswahili...
Kwa mtu aliyepata hiyo elimu kwa kutumia kingereza kama medium of instruction ni "Yes" kama hakijui basihiyo elimu aliipataje ina maana hakuwa anaelewa.ha ha haaaa kwaiyo kujua kiingereza kunajustify mtu kuwa msomi?
Alikuwa na tension sana! ndio maana maneno mengine alikuwa-anachapia!!Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
View attachment 1315270
Sent using Jamii Forums mobile app
Logic hapa ni simple kwani yeye kasoma china au Russia? Kasoma Tanzania na Canada kwa lugha ya Kingereza hivyo hainabudi kuijua kama haijui elimu yake kaipataje na ndiyolugha ya ufundishaji?Hivi china na russia hamna maprofesa vitabu vya science vimeandikwa kwa lugha za kwao?
Wacha kumlaumu Nyerere kwa umburula wako na Ndalichako. Mbona kuna Watanzania wengi tu wamesoma mpaka Bachelors tu enzi za Nyerere lakini wanapiga English vizuri tu. Usimtetee huyu Ndalichako ni kilaza
Kwahiyo kingereza ndo kipimo cha uelewa wa mtanzaniaAwamu ya Tano inapiga kazi balaa, mama Prop yuko site anatimiza kauli mbiu ya Hapa kazi tu, soon Tanzania itaanza kutoa misaada kwa mataifa masikini, Mama Profesa Mtaalamu anapiga ung'eng'e balaa mpaka huyo mchina anashangaa shangaa hiyo English ya ndani kabisa pale London na kama hujakaa UK huwezi kuelewa kabisa, HIVI HUYU MAMA NI PROFESA NA NI WAZIRI WA ELIMU..?? haya twendeni tu..
Uchumi unakua kwa 7% watanzania wanafurahia maisha mitaan. machinga, mamantilie hawasumbuliwi tena.. Pato la Mtanzania limekua na linazidi kukua kwa kasi..
Unapimwa kwa kutokukijuaKwani uelewa unapimwa kwa kujua kiingereza? Inaonekana wewe hujaelimika bado sana!
Viqoute vya watoto wa form two hivi"I believe one day people will understand that English is language and not measure of intelligence" Martin Luther king Jr.
wewe unajua aya imenisaidia nini kwenye mihangaiko yanguHujaona shida ya alivyoongea Ndalichako kwa vile na wewe ni hujui kama Ndalichako. Hatumlaumu kwa lafidhi bali kwa direct translation na broken grammar.