Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Naona kaongea Kiingereza kinachoeleweka mbona, hautegemei aongee kama mzungu, maana muda mwingi anazungumza Kiswahili
Sorry, huyo ni Profesor ujue !!, kama hao wako ivyo vipi wale wa shule za kayumba ?.
 
Usomi ni kujua kiingereza!!!... Kaazi kwelikweli
That is why yule waziri wenu Kalamagi alikwenda kusini mkataba wenye bei ya njugu na Barrick kule London, kama hawajui lugha wanawezaje kuisainia nchi mikataba mikubwa ?
 
Samahani, nilichanganya kati ya "in facts" na "actually"---- na mimi naitwa Mokaze sio Mokanze.

By the way, nitakutafuta muda ukiwadia ili unipe ushauri wa kibiashara.

Edited.
Karibu sana.
 
Mwanangu niliyemlipia ada juzi Darasa la Sita anaflow ngeli kuliko huyu bibi, nitamskilizisha leo nikirudi nyumbani.... sema sitaruhusu kejeli wala kucheka vile sio heshima kwa wakubwa zetu hivyo hiyo aibu nitaibeba mimi.
 
That is why yule waziri wenu Kalamagi alikwenda kusini mkataba wenye bei ya njugu na Barrick kule London, kama hawajui lugha wanawezaje kuisainia nchi mikataba mikubwa ?
Kusini ndo nini... Ukute hapo mwenyewe kiingereza hoi...kiswahili tu shida.
 
wewe unajua aya imenisaidia nini kwenye mihangaiko yangu

mchina anaye ambiw hajui pia ila wewe unashadadia kama vile ulikuwa unaambiwa wewe
Nenda zako mburula na wewe na Ndalichako wako. Nini kinakuleta pages za Great thinkers? Nenda kwenye udaku kule
 
Hebu niambie hapo kuna kosa ngani mwingereza?
 
Eti umeishi Ulaya na unajuwa Kiingrreza. Basi kumfanyia tuition dada yako Ndalichako
 
Ebu rudia tena kusikiliza ufanye subtitle maana hapa equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction haya ni maneno yako si ya mama ndalichako
 
Ni ngumu kuelewa hasa ukikaa upande hasi, lengo kubwa la lugha ni mawasiliano. Na ametimiza ilo
Endeleeni kutetea ujinga maana kama Profesa mwenye PhD anaongea broken hivyo sijui waalimu wake wataongeaje
 
Nenda zako mburula na wewe na Ndalichako wako. Nini kinakuleta pages za Great thinkers? Nenda kwenye udaku kule
hahahaha GT akili ndogo ivo, ukiulizwa utakuta umesoma zayuni, utalii mambo haya.
 
Hahaha Kiingereza kitu gani, mwacheni bibi amalizie muda wake mwezi wa 11, 2020 siyo mbali
 
Eti umeishi Ulaya na unajuwa Kiingrreza. Basi kumfanyia tuition dada yako Ndalichako
Wewe stress zinakusumbua mwenzako ni Prof. pia ni Waziri ana benefit kibao hata mchina amemuelewa na akaende ndani. Who are you by the way https://jamii.app/JFUserGuide assssss!! Haya ni sahihishe na mimi Mwingereza wa Tandale Maji Machafu!
 
Kingereza kina tabia moja mbaya sana, ukiongea kwa kupanick wakati sio lugha yako kinakuchapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…