Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?


 
Kawaida tu by the way majority of us tunapuyanga tu kwenye ngeli. Lakini ndo hivyo msemo wa kibanzi na boriti hapa vinatendewa kazi
 
Kawaida tu by the way majority of us tunapuyanga tu kwenye ngeli. Lakini ndo hivyo msemo wa kibanzi na boriti hapa vinatendewa kazi
Watanzani sijui tuna shida gani, tunasumbuka na Kiingereza wakati kwenye lugha yao pamoja na hiyo broken yetu huwa wanatuelewa tu! Ninafanyakazi na Wazungu na ninakivuruga hivyo hivyo lakini tunaelewana na kazi zinaenda! Hata wao wanajua kwamba English is not our language! Maana hata wao ukiwapeleka kwenye Kiswahili wanapoteana!
 
Nieleze hizo nukuu umetoa katika kitabu kipi??-- ni Uk English English ya wapi??

Ndio maana nilikuambia "a little knowledge is a dangerous thing".

Kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia kuna step tatu za kujifunza, akazilinganisha na degree
1. Step ya kwanza ( bachelor): Unahisi unajua kila kitu
2: Step ya pili (Masters): Unahisi haujui kila kitu
3: step ya tatu( PhD): Unahisi haujui kila kitu ila na wenzako hawajui
 



Si ndio maana mkuu nilikuambia kwamba Lugha mama ni muhimu sana katika mambo ya Academic. Yaani hapo umeniunga mkono. Hao maprof, wamesoma elimu zao kupitia lugha mama zao.

Yaani point yangu ilienda mbele zaidi, achilia mbali kuhusu huyo Ndalichako na kiingereza chake, point ni hii kwamba tutakuzaje vipaji vyetu katika elimu tunazojifunza shuleni na vyuoni??-- ni kupitia lugha mama. Wewe mwenyewe unawakubali hao maprof, kwakuwa walijifunza kwa lugha mama za kwao, je ndalichako alijifunzia kwa kiha au kiswahili??-- hiyo ndiyo shida.
 
Kwanini anatuchanganyia na kingereza kibovu hivi wakati sisi ni waswahili.. huyu prof kanjanja anayukorogesha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema wabongo wanazinguaga wakianza kuongea in American accent wakati kakulia manzese...
Mi nasemaga moja ya sababu Nigerian music and culture ina sell world wide saivi kama kuiwakilisha African culture ni kwamba wale jamaa wana accent yao unique inayowafanya hata wazungu kutamani kuiga kuongea 'nigerian english'
ila wabongo kina diamond,Vanessa mdee,hata late kanumba walikuwa wakipata exposure wanabadilisha accent wanakua kama wazungu...hence tunakua disinteresting na tunaboa inaonekana kabisa tuna'fake
 
Hahahah right in the rat trap...escape sasa Michael Schofield


Huyo anamzidi William Brehman mwingereza kutoka Birmingham na kitabu chake cha "The perfect English grammar. Published in 1930"

Wewe huyo ni wa lini??--- usituwekee kiingereza cha jamaicans na carribeans hapa.
 
A Rat trap or common a common fly trap? !!-- unaleta kiswahili cha kenya kwa mtanzania??!
Hiyo ni expression na nimeamua kujiexpress hivo usinipangie....we ngeli bado sana
ila bado ile ya always hujaijibu fresh au kesho?
 
Hiyo ni expression na nimeamua kujiexpress hivo usinipangie....we ngeli bado sana
ila bado ile ya always hujaijibu fresh au kesho?



Wewe, kuna viingereza vya aina mbalimbali, unapokuwa unajifunza kiingereza ni lazima uchague, London English -- kuna za English za Wales, Scotish nk. Na zingine ni kutoka Jamaica, Guyana, USA, canada nk, pote huko kuna vingreza vyao, mfano kiswahili Kipo cha Tz, Rwanda, Congo Zanzibar/pemba, lamu, Mombasa, Somalia, Burundi nk-- sasa inategemea unajifunza kiswahili cha wapi na the same applies to English.
 
Kama alisoma kuanzia form one mpaka PHD kwa kutumia Kiingereza na akawa lecturer akifundisha kwa kutumia Kiingereza na Kiingereza chake mpaka leo ni cha 'kizushi' basi kuna tatizo kubwa sana either kwake binafsi au kwa mfumo mzima wa elimu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo hivo viingereza vinatofautiana sarufi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…