Tukiacha kujimwambafy kuonekana tunajua...I am always doing na I always do zote zipo correct sema sometimes zinaweza kuwa na implications tofauti moja ni intentionally nyingine ni ukawaidaHiyo ni expression na nimeamua kujiexpress hivo usinipangie....we ngeli bado sana
ila bado ile ya always hujaijibu fresh au kesho?
Kaisomea siku nyingi sana, kitakuwa kimemtoka.Nimerudia mara kumi cjaelewa huyu si kasoma mpaka PhD kwa kiingereza hiki ni kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je wamesoma masomo yao kwa Kiswahili kwa miaka 10 na kuendelea????Watanzani sijui tuna shida gani, tunasumbuka na Kiingereza wakati kwenye lugha yao pamoja na hiyo broken yetu huwa wanatuelewa tu! Ninafanyakazi na Wazungu na ninakivuruga hivyo hivyo lakini tunaelewana na kazi zinaenda! Hata wao wanajua kwamba English is not our language! Maana hata wao ukiwapeleka kwenye Kiswahili wanapoteana!
Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
View attachment 1315270
KWA WASIOSIKIA VIZURI AMESEMA
‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the government like this ,last time I came here equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction for the equipment you have taken to Dodoma to come back here make sure you have sufficient people to work on the site mheshimiwa sasa kawaweke hawa siwezi kuwa ….’’
CURRICULUM VITAE
Early life and education[edit]
She was born on May 21, 1964, in Musoma, Mara Region in Tanzania. She attended University of Dar Es Salaam from 1987–1991, where she graduated with Bachelor of Science with education, majoring in mathematics. During 1993–1997 she went to University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.[2]
Career[edit]
- From 2000 to 2005 she was the senior lecturer at the University of Dar Es Salaam teaching educational measurement and evaluation, research methods, and educational statistics, supervising dissertation of the students.[3][2]
- From 2014 to date she has been the associate professor and deputy head researcher at Agha Khan University Institute for Educational Development, East Africa [2][3]
Kiingereza si lugha yetu
KIINGEREZA SI LUGHA YETU __________________ Kumbukumbu zinanirudisha zaidi ya miaka 10 nyuma tukiwa kwenye vimbweta vya Tegeta High school na wanangu Mdax, DVd pamoja na kizazi tukikata topic ya colonialism in Africa. Tayari tumeishakula mihogo yetu ya kukaanga na kachumbari nyingi yenye...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwetu Bongo unaposema, fulani anaongea kizungu au king'eng'e au ung'eng'e au kimombo au ngeli maana yake huyo fulani anaongea lugha ya kiingereza.
Jaribu kuficha ujinga wako. Mtu kasoma mpaka canada alafu kuunda sentensi ya kiingereza hajui?Ila mabalozi wanapohutubiaga au wazungu wakikosea kiswahili tunaona fahari tunacheka kwa upendo kabisa kwamba wako mafunzoni, kwan kiswahili siyo lugha yao... Akikosea mswahil kiingereza n tatizo hii spirit ndani yetu na mentality ndio kitu kinatumaliza tunajikataa ktk Meng..
Kwahyo hivo viingereza vinatofautiana sarufi??
Ndio makosa hayo hayo kama ya ndalichako, hususani wanaoita kizungu, maana ni hapa hapa bongo watu wenye ngozi nyeupe (whites) ndo tunawaita wazungu.
Hayo majina mengine kama ung'eng'e ni sahihi maana ni misemo ya kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio makosa hayo hayo kama ya ndalichako, hususani wanaoita kizungu, maana ni hapa hapa bongo watu wenye ngozi nyeupe (whites) ndo tunawaita wazungu.
Hayo majina mengine kama ung'eng'e ni sahihi maana ni misemo ya kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani alikuwa ana hasira hata helmet kaivaa mbele nyuma na nyuma mbele.
Ila mabalozi wanapohutubiaga au wazungu wakikosea kiswahili tunaona fahari tunacheka kwa upendo kabisa kwamba wako mafunzoni, kwan kiswahili siyo lugha yao... Akikosea mswahil kiingereza n tatizo hii spirit ndani yetu na mentality ndio kitu kinatumaliza tunajikataa ktk Meng..
Kwani kiingereza ndio nini mkuu?Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
CHINA WAMECHUKUA PHD KWA KICHINA WANAONGEA KICHINA FLUENT ,HATA HUYU MAMA HAJUI KICHINA NA TUNAELEWA ILA KUTOJUA LUGHA ULIYOCHUKULIA ELIMU COMPLEX YA JUU NI KUNA MAWILIKwani kiingereza ndio nini mkuu?
China kuna maprofessor hawajui english,Russia,Japan n.k
Angalia kazi sio lugha