Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hiyo ni expression na nimeamua kujiexpress hivo usinipangie....we ngeli bado sana
ila bado ile ya always hujaijibu fresh au kesho?
Tukiacha kujimwambafy kuonekana tunajua...I am always doing na I always do zote zipo correct sema sometimes zinaweza kuwa na implications tofauti moja ni intentionally nyingine ni ukawaida
Eg. I always forget your name -sio intentionally
I am always forgetting your name- intetional (negative way)

But in other scenarios kama I always eat/I am always eating....they're essentially the same thing
 
Watanzani sijui tuna shida gani, tunasumbuka na Kiingereza wakati kwenye lugha yao pamoja na hiyo broken yetu huwa wanatuelewa tu! Ninafanyakazi na Wazungu na ninakivuruga hivyo hivyo lakini tunaelewana na kazi zinaenda! Hata wao wanajua kwamba English is not our language! Maana hata wao ukiwapeleka kwenye Kiswahili wanapoteana!
Je wamesoma masomo yao kwa Kiswahili kwa miaka 10 na kuendelea????
 
Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.

View attachment 1315270
KWA WASIOSIKIA VIZURI AMESEMA

‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the government like this ,last time I came here equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction for the equipment you have taken to Dodoma to come back here make sure you have sufficient people to work on the site mheshimiwa sasa kawaweke hawa siwezi kuwa ….’’

CURRICULUM VITAE

Early life and education[edit]
She was born on May 21, 1964, in Musoma, Mara Region in Tanzania. She attended University of Dar Es Salaam from 1987–1991, where she graduated with Bachelor of Science with education, majoring in mathematics. During 1993–1997 she went to University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.[2]

Career[edit]
  • From 2000 to 2005 she was the senior lecturer at the University of Dar Es Salaam teaching educational measurement and evaluation, research methods, and educational statistics, supervising dissertation of the students.[3][2]
  • From 2014 to date she has been the associate professor and deputy head researcher at Agha Khan University Institute for Educational Development, East Africa [2][3]

Sent using Jamii Forums mobile app

What are we trying to accomplish here? Isn’t this like flogging a dead horse? ...Just in case you didn’t know, fluency comes in at least three distinct forms: reading fluency, oral fluency, and written fluency. Although interrelated, these forms rarely or don’t necessarily develop in concert.

One can earn a degree, including an advanced degree, with minimal oral fluency provided the other two forms of fluency (i.e., reading fluency and written fluency, which carry more weight in academic pursuits) are highly developed!

Kiswahili chenyewe tunachoongea mitaani, mtaalamu wa lugha akikichambua, in most cases ni majanga matupu; sembuse a foreign language!
 
Ndio makosa hayo hayo kama ya ndalichako, hususani wanaoita kizungu, maana ni hapa hapa bongo watu wenye ngozi nyeupe (whites) ndo tunawaita wazungu.

Hayo majina mengine kama ung'eng'e ni sahihi maana ni misemo ya kawaida.
Hapa kwetu Bongo unaposema, fulani anaongea kizungu au king'eng'e au ung'eng'e au kimombo au ngeli maana yake huyo fulani anaongea lugha ya kiingereza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mabalozi wanapohutubiaga au wazungu wakikosea kiswahili tunaona fahari tunacheka kwa upendo kabisa kwamba wako mafunzoni, kwan kiswahili siyo lugha yao... Akikosea mswahil kiingereza n tatizo hii spirit ndani yetu na mentality ndio kitu kinatumaliza tunajikataa ktk Meng..
 
Jaribu kuficha ujinga wako. Mtu kasoma mpaka canada alafu kuunda sentensi ya kiingereza hajui?

Na bado ana PhD ya elimu na ni waziri wa elimu.

Alafu tunajiuliza kwanini elimu ni mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo hivo viingereza vinatofautiana sarufi??

Inatakiwa uelewe, kwanza kuna aina nyingi za lugha ya kiingereza, mfano, kwa kutojua mtu unaweza kujifunza "Ebonics" ya African Americans ukadhani kwakuwa anatoka Marekani basi anajua English.

Tanzania na Anglophones zote ni London English ndiyo iliyoletwa na Wazungu mashuleni zama za ukoloni, ndiyo mababu zetu walifundishwa hiyo English ya London.

Unapojifunza English ni juu yako kujifunza English ya aina yoyote lakini yakupasa utambue ni aina gani ya English unayojifunza.

Kwa kuongezea, kuna kitu kinaitwa "Native grammar"-- london English ni English yenye "Native English grammar".
 
Mimi nimemuelewa mama sasa sijui kipi hakijaelewela pale.

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake!
 
Ndio makosa hayo hayo kama ya ndalichako, hususani wanaoita kizungu, maana ni hapa hapa bongo watu wenye ngozi nyeupe (whites) ndo tunawaita wazungu.

Hayo majina mengine kama ung'eng'e ni sahihi maana ni misemo ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app

In nominal sense, kizungu ni kiingereza., ni sawa useme ku
Ndio makosa hayo hayo kama ya ndalichako, hususani wanaoita kizungu, maana ni hapa hapa bongo watu wenye ngozi nyeupe (whites) ndo tunawaita wazungu.

Hayo majina mengine kama ung'eng'e ni sahihi maana ni misemo ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app

In nominal sense "kizungu" ni kiingereza, mfano neno "tongoza" in nominal sense is seduce, lakini kwa uhalisia tongoza ni "cajole".

Au unaposema "Uroda" in nominal sense unajua maana yake??🤣
 
Ila mabalozi wanapohutubiaga au wazungu wakikosea kiswahili tunaona fahari tunacheka kwa upendo kabisa kwamba wako mafunzoni, kwan kiswahili siyo lugha yao... Akikosea mswahil kiingereza n tatizo hii spirit ndani yetu na mentality ndio kitu kinatumaliza tunajikataa ktk Meng..

Sasa alilazimishwa aongee kiingereza???, kama huna uwezo wa lugha fulani kwanini ujilazimishe kuongea wakati nafasi ipo kwa wewe kuongea lugha unayoimudu!!--- was she forced to speak in English on gun point??
 
Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
Kwani kiingereza ndio nini mkuu?
China kuna maprofessor hawajui english,Russia,Japan n.k
Angalia kazi sio lugha
 
Kwani kiingereza ndio nini mkuu?
China kuna maprofessor hawajui english,Russia,Japan n.k
Angalia kazi sio lugha
CHINA WAMECHUKUA PHD KWA KICHINA WANAONGEA KICHINA FLUENT ,HATA HUYU MAMA HAJUI KICHINA NA TUNAELEWA ILA KUTOJUA LUGHA ULIYOCHUKULIA ELIMU COMPLEX YA JUU NI KUNA MAWILI
1.UMEFOJI ELIMU HIYO
2.HUKUTUMIA LUGHA HIYO
 
Mbona mnakitukuza kiingereza huu ni ushamba kutukuza lugha za watu.
Waarabu,wachina,wakorea hawajui kiingereza lakini wameendelea kiingereza hakitusaidii chochote hata ukiweza.

Do not make of funny someone who speak broken English,
It means they know another language.
 
University_Promo,
Ni nani aliyemlazimisha kuongea kiingereza? Huyo mkandarasi ni mtu w Asia ambako kiingereza sio lugha yao. So hakuwa na ulazima wa kuzungumza kingereza cha kilugha kama hicho. By the way PhD yake si amesoma kwa kiingereza? Anashindwaje kutema yai?
 
Back
Top Bottom