ukanda wa afrika mashariki profesa asiyejua english huyu namuona wa kwanza.Wakuu Kiingereza na Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
acheni utoto nyie watu wazima kwani English si ni lugha tu.........kama lugha nyingine..............
People should be aware that language mastery has nothing to do with the level of education one has. IMO it is more of personal interest. Furthermore the lady is scientist judging by the kind of her training language mastery comes last, its all about formula and equations.Wakuu Kiingereza na Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana.....
Kama ni lugha kama lugha nyingine andika Thesis yako kwa kutumia lugha ya Kiswahili
Sasa yule Mchina ataelewa vipi hiyo milioni mia moja sitini si angeisema kiingereza au hujaifungua hiyo videomtu kutokuflow english sio shida kabisa na ndo tabia ya watu wanaojua mambo hata angeongea kiswahili bado angehangaika tu
Language is not a measure of intelligence.Huyu ndalichako ana kakiingereza kakavu sana!
Hiyo aina ya Kiingereza anaongea mtoto wa form two anayejifunza sarufi.
If a PhD holder's linguistic competence is equivalent to that of a form two student, then you know how big the problem really is.
Nimekutana na maprofesa na wakufunzi wengi na wazuri mno wenye umahiri mkubwa wa lugha zote mbili humu humu Tanzania.
Hivyo, sidhani kama ni tatizo la "mfumo" wa elimu [entirely].
Huyu mama ni kilaza tu katika personal capacity yake mwenyewe (na ni waziri wa elimu?).
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingreza kinaendana na cha bosiwake!! Bati wayi? Huyo jamaa agome kuwekwa ndani maagizo ya ametakiwa awekwe on sio in
Hizi ni sentensi mbili zenye maana moja
1.hey my fellow bagamoyo villagers you have done me good things i will not forget.
2.I feel indebted by the cooperation of bagamoyo residents
Prof tulitarajia hiyo sentensi ya pili .mpoki hiyo ya kwanza
Nimefuatilia uzi huu lakini umenitibua ulipotamka Ali Mufuruki.Yaani kingereza cha marehemu hata watasha wenyewe (ondoa Uk,USA,Canada na few english speaking countries) kwa huyo marehemu walikuwa cha mtoto.
Mpaka sasa huwa naangalia youtube na kumsikiliza huwa si amini huyo alikuwa Mtanzania.Kiingireza chake kilikuwa babu kubwa (simple,brief,clear and fluent).
Rip marehemu.
Mkuu acha upuzi/ujinga.
Relax lakini,hahahahaha!!!!
Kiingereza hutegemea na unaongea na nani?Nimerudia mara kumi cjaelewa huyu si kasoma mpaka PhD kwa kiingereza hiki ni kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app