Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Wakuu Kiingereza na Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.

I see no problem there.

Sent using Jamii Forums mobile app
ukanda wa afrika mashariki profesa asiyejua english huyu namuona wa kwanza.
 
06DB0D55-F339-4F48-994A-75803768E777.gif

Hii Serikali imejaa wababaishaji ndio maana wanajifanya wakali hahahaa
 
Wakuu Kiingereza na Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.

I see no problem there.

Sent using Jamii Forums mobile app
People should be aware that language mastery has nothing to do with the level of education one has. IMO it is more of personal interest. Furthermore the lady is scientist judging by the kind of her training language mastery comes last, its all about formula and equations.
 
Kingereza si Lugha yetu jamani,Kwa makosa hayo madogo anaeleweka tu.Kama ingekuwa anatukorogea kwenye Swahili tungempa case.
 
Tatizo lipo wapi? La msingi ni kwamba Professor kafanikiwa kufikisha ujumbe kwa matamshi yake. Kama ni uwezo wa kuzungumza Kiingereza, basi ukweli ni kwamba hata mtoto wa grade 7/darasa la 7 kule USA au UK ana English grammatical and vocabulary skills pana zaidi kuliko asilimia kubwa ya Wasomi waliobobea hapa Tanzania.
 
Mnao mshangaaa huyu mama wengi ni HKL HGL KLF na art nyingine kwa wale wanangu wa PCM PGM PCB mtu kutokuflow english sio shida kabisa na ndo tabia ya watu wanaojua mambo hata angeongea kiswahili bado angehangaika tu ila inapokuja swala na fani yake mbona mtaonyeshwa makali tu sayansi oyee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu kutokuflow english sio shida kabisa na ndo tabia ya watu wanaojua mambo hata angeongea kiswahili bado angehangaika tu
Sasa yule Mchina ataelewa vipi hiyo milioni mia moja sitini si angeisema kiingereza au hujaifungua hiyo video
 
Huyu ndalichako ana kakiingereza kakavu sana!

Hiyo aina ya Kiingereza anaongea mtoto wa form two anayejifunza sarufi.

If a PhD holder's linguistic competence is equivalent to that of a form two student, then you know how big the problem really is.

Nimekutana na maprofesa na wakufunzi wengi na wazuri mno wenye umahiri mkubwa wa lugha zote mbili humu humu Tanzania.

Hivyo, sidhani kama ni tatizo la "mfumo" wa elimu [entirely].

Huyu mama ni kilaza tu katika personal capacity yake mwenyewe (na ni waziri wa elimu?).



Sent using Jamii Forums mobile app
Language is not a measure of intelligence.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comments za watetezi wa Ndalichako humu zinadhihirisha kuwa Waziri huyu alipata Degree za Nguo ya ndani.
 
Hizi ni sentensi mbili zenye maana moja
1.hey my fellow bagamoyo villagers you have done me good things i will not forget.
2.I feel indebted by the cooperation of bagamoyo residents

Prof tulitarajia hiyo sentensi ya pili .mpoki hiyo ya kwanza

Judging by the video you have provided seems like the madam was on her nerves and anger got the better of her. So flow of vocabulary involved more than one parts of the brain which could not work properly. Mind you when you are speaking something in a foreign language you visualize it in your native language then take it to the language you are speaking at the time. Because she was angered the panic mode was activated and hence affected her speech. I stand to be corrected.
 
Nimefuatilia uzi huu lakini umenitibua ulipotamka Ali Mufuruki.Yaani kingereza cha marehemu hata watasha wenyewe (ondoa Uk,USA,Canada na few english speaking countries) kwa huyo marehemu walikuwa cha mtoto.

Mpaka sasa huwa naangalia youtube na kumsikiliza huwa si amini huyo alikuwa Mtanzania.Kiingireza chake kilikuwa babu kubwa (simple,brief,clear and fluent).

Rip marehemu.

Mkuu acha upuzi/ujinga.

Relax lakini,hahahahaha!!!!

Hizo interviews zake zilikuwa adhok au planned? Ukishapata majibu ya hayo utajua kuwa anything planned has deceiving tendency.
 
Nimerudia mara kumi cjaelewa huyu si kasoma mpaka PhD kwa kiingereza hiki ni kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza hutegemea na unaongea na nani?

Huwezi weka grammar English language,kwa mchina?

Hivi mnafikiri ukimuongelesha mchina slang atakuelewa???.

Mmekaa mmekosa hoja mmebaki kuvizia hotuba,misiba,ajali na kesi mahakamani tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom