Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Ugonjwa wa uchadema CCM Utakuua ,tunamvizia nani kwa maslahi gani? si tunaongelea ukilaza ,kugawa watu wanaovizia na waviziwa kumetokea wapi ?
 
Ana kaka yake au mdogo wake naye haeleweki anapataje nafasi za juu juu kazini wakati ukimtathmini ufahamu na lugha ya kiingereza haeleweki.
Hawa ni watu wa Kigoma sasa sijui ni mazingaombwe au lah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kweli havihusiani,ni bora angeongea tu Kiswahili.Mimi na elimu yangu ya hapa na pale siwezi ongea kiingeleza kibovu kama kile,sembuse yeye mwenye Phd ya Canada!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna bodi za wahandisi, makandarasi, wasanifu ujenzi, tenda bodi nk. Lakini leo kila mwanasiasa akifika kwenye 'site' tayari yeye ni 'project engineer' !!!!
Dunia inatuona jamani!

Ni sawa na kipofu kuteua na kuwaaongoza vipofu wenzake. Hakuna mjinga anaekubali kwamba ni mjinga. Tena huwa WAMOJA na wakali sana kwenye kusjisifu na kulindana katika udhaifu wao.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejisikia aibu sana,naomba kejeli zake zote zielekezwe kwangu nitazibeba mimi kama yesu alivyowafia wanadamu nami najitoa nibebe lawama kwa ajili yake
 
Mkuu, its mere reasoning beyond reasonable doubt ku raise claim kuwa prof. kutoongea fluent English inaeza kuwa na negative impact.

Khan what is essence of your argument ? What do you want to establish?
 
Lazma iwepo tofauti kati ya kiingereza cha Profesa na mtu alieishia std 7, form 4 au 6. Tunatarajia kadri level yako ya elimu inavyoongezeka ndivyo uimprove kwenye kuongea kiingereza. Hapo anakiongea utadhani kaishia std 7!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…