The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
- Thread starter
- #581
Ugonjwa wa uchadema CCM Utakuua ,tunamvizia nani kwa maslahi gani? si tunaongelea ukilaza ,kugawa watu wanaovizia na waviziwa kumetokea wapi ?Kiingereza hutegemea na unaongea na nani?
Huwezi weka grammar English language,kwa mchina?
Hivi mnafikiri ukimuongelesha mchina slang atakuelewa???.
Mmekaa mmekosa hoja mmebaki kuvizia hotuba,misiba,ajali na kesi mahakamani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app