Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

Prof. Anafikiri kwa kiha, then anatafsiri fasta kwa kiswahili, then maneno yanamtoka kwa ki ingereza. Ndio maana ametumia nguvu nyingi sana.
Hizo ndio changamoto anazokutana nazo mume wa prof. Kama akirudi usiku wa manane na amelewa na kunukia pafyum. Anapewa LIVE kwa kiingereza
 
Tatizo sio lugha kushindwa kuijua, Bali ulisomaje?
Imagine kijana aende China kisha akaanze sekondari kwa kichina hadi anapata PhD kwa kichina. Mwisho anatunukiwa Uprofesa kwa kufundisha kwa kichina.
Anakuja nyumbani anakutana na mchina yupo hapa na hakimudu kichina kuwasiliana naye vyema, jee hamuwezi kupata mshangao?
Hapa nyumbani sasa hivi watoto wetu wako shule za English medium ngazi ya chini kabisa na wanatiririka kiingereza hawa wenye PhD wanakwamia wapi? Mtu akisema vyeti vyao vya magumashi atakosea?
Mkuu kama umesoma hili swali sio la kuuliza. Naomba nikuulize shuleni kwenu waliofaulu ni wale waliokuwa wanajua kingereza pekee? Acha kuongea utumbo wewe
 
Acha porojo sema hapo alitakiwa ongea hivi kaongea hivi hapo ilitakiwa hivi ikawa hivi siyo unaakuja na maneno pinga kwa vigezo hapa ni JF siyo face book
Acha upoyoyo mwehu wewe, hivi hamjui kama vijana wetu wanasoma matumizi ya prepositions wakiwa darasa la tano au la sita???

Kwanza hata unajua "Prepositions " ni nini in English language??? Au unaleta ushabiki wa kijinga hapa???

Sawa, kwa vile hapa ni JF na sio huko FB ulikokuzoea ngoja nijitolee muda wangu kukupiga shule kidogo, jitu zima unatetea upumbavu!!!!!!!!!!

Prepositions are words used to show a relationship between a noun and pronoun in a sentence. They must always (mandatory) be followed by a noun or pronoun. Examples of these words are at, for, off, under, above, over, IN and ON.

SInce we are talking about IN and ON here, let me a bit tell you about them.

IN is defined and used to indicate position within an area. They are moving from a point outside to a point inside. Eg. The dog is in her cage and not the dog is on her cage. I wish ningeweza kukuchorea na picha ili uelewe vizuri.

ON is used to indicate position as well, especially when indicating something which is on top/above something else. Eg. The book is on the table and not the book is in the table. I wish ningeweza kukuchorea na picha ili uelewe vizuri.

Sasa huyo propesa wako anasema "you are going to stay on the cell" this is completely wrong and it's so shameful that it comes from the minister of education.

The correct statement GRAMMATICALLY was supposed to be "you are going to stay in the cell"

Lakini kwa hadhi yake kama "propesa" angalau basi angesema "you are going to be detained, until you provide clear explanation about the money" statement ambayo mtoto mdogo wa form two angeweza kuisema vizuri tu.

Unazungumzia uhusiano uliopo kati ya mtu kuweza kuzungumza kingereza fasaha na uwezo wake wa kutimiza majukumu???? You are not serious.

Ukishafika some kind of positions in administration, there must be a very slim chance of making stupid mistakes especially in public speaking.

Hebu nisijichoshe mimi pengine hivi ninavyoandika vyote hakuna unachoelewa ni sawa sawa tu nampigia mbuzi gitaa.
 
Tuongee Kiswahili tu kama wachina wanavyongea kichina. Kama huelewi utatafuta mkalimani mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze Kiingereza uepuke fedheha za reja reja.

Umekaa hapo na manguo ya kijani, akija Museven tu kwenye kongamano la kikanda, wote mnajificha uvunguni. Mnamkimbia.

Huyo ndalichako ni waziri mwenye dhamana kubwa ya kusimamia taaluma na elimu nchini ikiwemo Kiingereza ambacho ni moja ya somo la msingi mashuleni kote na lugha ya kufundishia.

Kama yeye mwenyewe ni ngumbaru guruguja la lugha, najaribu tu kuwaza ni kwa namna gani elimu inaelekea kwenye shimo zito.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.

I see no problem there.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu utegemee mwanao atafaulu , kwa kingereza gani?
 
One hundred and fifty million TZS.Kilikuja na meli. Pale Udsm mwalimu anaongea Kinge akiwa darasani tu. Mkitoka nje ni kiswahili mpaka nyumbani. Mtu Kinge anaongea asilimia 3 ,Kiswahili asilimia 97.
Umenikumbusha nilikaaga nje miaka na ilikuwa full kinge ila nikiota ndoto naota kwa Kiswahili tena cha kitaa ha ha ha mtu kwaooo
 
You stay inside
🤣 🤣
Hatare kubwaa!!
Ila wana bahati sana maana kwanza alisema "you are going to stay on the seli, ingekua IN the seli, cha moto wangekiona; ON on the seli hakunaga shida
 
Mkuu kama umesoma hili swali sio la kuuliza. Naomba nikuulize shuleni kwenu waliofaulu ni wale waliokuwa wanajua kingereza pekee? Acha kuongea utumbo wewe
Kuwa na adabu wewe! Utakuaje na utetezi kwa mfano niliokuambia wa mwanafunzi aliyehitimu PhD kwa kichina then kichina hakijui? Hapo ni magumashi tuu! Wewe hapo kama sio mmakonde ukifaulu mitihani ya kimakonde ni mawili tuu, eitha kwa muujiza au magumashi pekee. Kwa hiyo wewe ni fake!
 
Gambling on the future??-- to access risk of potential future!!, how??, would please cite an example!,

Halafu science hii imeanza lini?? By the way.
Mokaze inafahamu Insurance Company? Unafahamu kazi yake? Namna wanavyofanya kazi? Sasa kama unafahamu tunatumia hizi hesabu to figure out ni kiasi gani tutawachaji wateja wetu, kuweka financial framework kwenye product zinazo involve risk kama nyumba, gari, life insurance, pension, health care.

Sasa ili kujua ni kiasi gani tutacharge kuna Fanya a lot of calculation (statistics and analysis). Mfano kama ni gari tunaangalia driving record, umri, jinsia, location yako halafu tunalinganisha na data nyingine, za watu wengine kwenye past. From that tunatengeneza model ambayo inaproject the likelihood of you making a claim of a given year.
Kama utaonekana ni low risk, tunakupa low premium kama ni high risk tunakupa high premium as a hedge against the likelihood of making a claim.

Nyongeza, hatupo kwenye insurance company tuu.

Kuhusu imeanza lini sina uhakika ila ipo tangu miaka ya 1990
 
Hata baadhi ya wazungu hawaongei kiswahili kuzuri.
 
Kuwa na adabu wewe! Utakuaje na utetezi kwa mfano niliokuambia wa mwanafunzi aliyehitimu PhD kwa kichina then kichina hakijui? Hapo ni magumashi tuu! Wewe hapo kama sio mmakonde ukifaulu mitihani ya kimakonde ni mawili tuu, eitha kwa muujiza au magumashi pekee. Kwa hiyo wewe ni fake!
Kukariri ni kubaya sana, tena sana endelea kukomaa, nikuulize swali na nafsi yako ikusute wewe na kingereza chako umemzidi nini ndalichako?
 
Back
Top Bottom