Hizo hesabu alijifunza kwa kiswahili au alipokuwa anafundisha alifundisha hesabu primary school??, hiyo siyo hoja, hoja ni hii kwamba kujua lugha ni kipaji naye hana kipaji cha lugha ya kiingereza, ndivyo mungu kamuumba hivyo.
One hundred and fifty million TZS.Kilikuja na meli. Pale Udsm mwalimu anaongea Kinge akiwa darasani tu. Mkitoka nje ni kiswahili mpaka nyumbani. Mtu Kinge anaongea asilimia 3 ,Kiswahili asilimia 97.
kiingeleza ni muhimu ila pia tusiwe tunaamini sana kuwa kila anyeongea kiingeleza ni msomi
indio maana wazazi wengi miaka flani walipeleka watoto wakasome Uganda lakini watoto kule wengi hata wakawa hawasomi zaidi ya kula ada na mambo mengine ila akirejea likizo mzazi anaapima elimu kwa kusikia mtoto anaongea kiingeleza na anakuja kugundua mwishoni mtoto alishapotea kabisa
kuna kampuni moja ya matangazo kuna mkenya alipewa ukurugenzi na hakuna aliyefuatiia kampuni ilikuwa ya MTanzania baadaye ile kampuni ikanunuliwa na makaburu flani wakamuomba alete vyeti ndo ikabidi akiri alikuwa anasomea udoctor akafukuzwa hakuamliza masomo ikabidi wamutoe na kumpa kazi nyingine maana tayali alishakuwa na connection ambazo hawakutaka zipotee ila
Wakuu Kiingereza na Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the government like this ,last time I came here equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction for the equipment you have taken to Dodoma to come back here make sure you have sufficient people to work on the site mheshimiwa sasa kawaweke hawa siwezi kuwa ….’’
CURRICULUM VITAE
Early life and education[edit]
She was born on May 21, 1964, in Musoma, Mara Region in Tanzania. She attended University of Dar Es Salaam from 1987–1991, where she graduated with Bachelor of Science with education, majoring in mathematics. During 1993–1997 she went to University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.[2]
Career[edit]
From 2000 to 2005 she was the senior lecturer at the University of Dar Es Salaam teaching educational measurement and evaluation, research methods, and educational statistics, supervising dissertation of the students.[3][2]
From 2014 to date she has been the associate professor and deputy head researcher at Agha Khan University Institute for Educational Development, East Africa [2][3]
KIINGEREZA SI LUGHA YETU __________________ Kumbukumbu zinanirudisha zaidi ya miaka 10 nyuma tukiwa kwenye vimbweta vya Tegeta High school na wanangu Mdax, DVd pamoja na kizazi tukikata topic ya colonialism in Africa. Tayari tumeishakula mihogo yetu ya kukaanga na kachumbari nyingi yenye...
kiingeleza ni muhimu ila pia tusiwe tunaamini sana kuwa kila anyeongea kiingeleza ni msomi
kuna kampuni moja ya matangazo kuna mkenya alipewa ukurugenzi na wakamuomba alete vyeti ndo ikabidi akiri alikuwa anasomea udoctor akafukuzwa hakuamliza masomo ikabidi wamutoe na kumpa kazi nyingine maana tayali alishakuwa na connection ambazo hawakutaka zipotee
nashukuru ila muungwana huwa na hekima kwenye kujibu hoja yoyote bila lugha ya kuudhi wewe msomi unayejua lugha zote kwa umahiri unashindwa kuona kuwa kuamini kwetu katika kingeleza tu kunatufanya tuwekeze kwenye lugha pekee ya kiingeleza na kuacha kuwekeza kwenye maarifa ya msingi.
ina maana mbumbu aliyezaliwa na kukulia chi wanayoongea kiingeleza ni mtaalamu kuliko mtanzania aliyehitimu chuo kikuu ila tu hajui kingeleza?
ila hoja yako naikubali watanzania wa leo hautujui kiswahili vyema wala kiingeleza ila tunaona mapungufu la kiingeleza zaidi kwa sababu tulivyo watumwa walugha hiyo pekee na kusahau hata kilicho chetu tunakipoteza
Wewe stress zinakusumbua mwenzako ni Prof. pia ni Waziri ana benefit kibao hata mchina amemuelewa na akaende ndani. Who are you by the way **** assssss!! Haya ni sahihishe na mimi Mwingereza wa Tandale Maji Machafu!
Negative impact yake nini? Prof. Kukizungumza English fluently ina impact gani mbovu kwenye wizara yake anayoisimamia?
Ni Utendaji kazi ndo unasimamia majukumu yake au kingereza?
One hundred and fifty million TZS.Kilikuja na meli. Pale Udsm mwalimu anaongea Kinge akiwa darasani tu. Mkitoka nje ni kiswahili mpaka nyumbani. Mtu Kinge anaongea asilimia 3 ,Kiswahili asilimia 97.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.