Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
but I am always facing the same problem.
Ungeandika hivi;
But I always face the same problem or but I always do the same mistake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
but I am always facing the same problem.
Tuna maoni tofauti lakini mimi hainiingii akilini upate Phd kwa kutumia Kingereza halafu kikupe shida kiasi kile.
Ndiyo maana PhDs nyingi za Tanzania hazina matokeo chanya kwenye utendaji kwasababu wana PhD jina.Tupo tofauti, kuna watu wapo natural kwenye kujifunza lugha. Kuna mtu namfahamu yupo fluent kwenye lugha tano. At the same time, wengine tuna struggle na lugha moja.
Mimi nina imani tukianza kusikiliza Kiingereza cha PhDs wengi tu, hakitakuwa mbali cha mama. Hasa hasa waliopatia hizi PhD Tanzania.
Na umesahau vilevile kwamba tupo vizuri kwenye Kiswahili.
VyoteHivi ta
Hivi tatizo ni kiingereza chake au lafudhi yake??? Au vyote???
Kama tunaona broken hata wewe basi wewe ni tatizo zaidi kuliko Ndalichako. Rudi kasikilize tena clipKaongea broken gani hapo, mimi nimeona kosa lipo kwenye “on” badala ya “in”
Ishu ya vocabularies ni suala la umespend muda gani unaongea Kiingereza, kwa mazingira ya Tanzania ni ngumu sana mtu
kuwa na mavocabularies mengi mengi.
Na ujue vilevile hakuna kitu kigumu kama hizo prepositions. I do consider myself as a fluent English speaker, but I am always facing the same problem.
Ingependeza kama angejikita kusimamia curriculum za mashule na vyuo ambayo ndiyo her defacto job as minister. Hii ya kukagua miradi ya madarasa na majengo angewaachia technical people.Tuna maoni tofauti lakini mimi hainiingii akilini upate Phd kwa kutumia Kingereza halafu kikupe shida kiasi kile.
Ungeandika hivi;
But I always face the same problem or but I always do the same mistake.
Kama tunaona broken hata wewe basi wewe ni tatizo zaidi kuliko Ndalichako. Rudi kasikilize tena clip
Yupo saiti
Hivi kwa mfano angezungumza Kiswahili ili wanaofahamu.kutema yai wakawatemea wale Wachina kungekuwa na shida gani? Mimi TAML mwezi November akiniteua nitakuwa natumia kiswahili tu, shida ya nni?Tena kasoma Canada with first class, Kuna shida mahala, ndo maana hazipendi English medium
Kansiime ni Kenya?Hiki kiinglish nakifananisha na kile cha yule msanii wa kenya, anaitwa kansiime, copyright...
Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
View attachment 1315270
KWA WASIOSIKIA VIZURI AMESEMA
‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the government like this ,last time I came here equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction for the equipment you have taken to Dodoma to come back here make sure you have sufficient people to work on the site mheshimiwa sasa kawaweke hawa siwezi kuwa ….’’
CURRICULUM VITAE
Early life and education[edit]
She was born on May 21, 1964, in Musoma, Mara Region in Tanzania. She attended University of Dar Es Salaam from 1987–1991, where she graduated with Bachelor of Science with education, majoring in mathematics. During 1993–1997 she went to University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.[2]
Career[edit]
- From 2000 to 2005 she was the senior lecturer at the University of Dar Es Salaam teaching educational measurement and evaluation, research methods, and educational statistics, supervising dissertation of the students.[3][2]
- From 2014 to date she has been the associate professor and deputy head researcher at Agha Khan University Institute for Educational Development, East Africa [2][3]
Kiingereza si lugha yetu
KIINGEREZA SI LUGHA YETU __________________ Kumbukumbu zinanirudisha zaidi ya miaka 10 nyuma tukiwa kwenye vimbweta vya Tegeta High school na wanangu Mdax, DVd pamoja na kizazi tukikata topic ya colonialism in Africa. Tayari tumeishakula mihogo yetu ya kukaanga na kachumbari nyingi yenye...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unajua tuambie ni wapi hakuna haja ya kufanya mashindano humuKansiime ni Kenya?
UgandaKama unajua tuambie ni wapi hakuna haja ya kufanya mashindano humu
Mimi nimesoma nje kwenye nchi ambayo wanatumia English na Spanish kama official languages. Nimefundishwa na walimu kutoka mataifa mbalimbali. Kuna maprofesa wamenifundisha wewe unaweza wakosoa Kiingereza, lakini wapo kwenye taasisi kubwa tu na wanaimpact kubwa kuliko wewe mkosoaji wa jamii forum.
Wewe jamaa much know sana. Kweli a little knowledge is a dangerous thing.
Hao maprofesa walikuwa Waingereza au sio waingereza??, I mean, is English their mother tongue language??
Wewe ni miongoni mwa watu wa ajabu, mtu anakusahihisha kutokana na makosa yako badala ya kushukuru unajifanya jeuri maskini!!🤣, sasa unyosha kosa langu hapo katika masahihisho yangu na kama nitakuwa nimekosea nitakushukuru kwa kunifundisha.
Wewe umeandika broken English, eti; " but I am always facing the same problem"--- neno "always" ni neno linaloendana na kitendo cha "simple present tense" sasa utawekaje- I am , ambayo ni "verb to be" ya present continuous tense??.
Mfano, unaweza kusema; I am going to school, yaani ninakwenda shule. (sasa hivi), hiyo ni present continuos tense. . Sasa Ukitaka kutumia neno "always" hiyo sentensi itakuwa; I always go to school. yaani siku zote huwa naenda shule, (huwa naendaga shule 🤣), hiyo ni simple present tense.
Sasa kosa langu liko wapi??, Shida ya waafrika ni hiyo kwamba kukubali kukosolewa mtu anajiona dhalili, kwa mzungu hapo angetoa shukrani kwa kusahihishwa makosa kwasababu wazungu siku zote.ni curious kutaka kujifunza mambo mapya tofauti na waafrika siku zote tupo kupambana sisi kwa sisi ili tusizidiane katika elimu na maendeleo, and that is one of causative of our backwardness.
Much know 🤣🤣