Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi tumbo liwe fresh, la sivyo hucheleweli kuwatapikia wenzako, hehe
Umenikumbusha jamaa alilia kwa kiingereza😛arty: Sasa patapicha kulia kiingereza inakuaje halafu mkwere na kizungu wapi na wapi,, teh teh teh..
Inatakiwa raisi wetu akienda europe tena akajaribu kubembea na hilo..sio kubembea jamaica tuu. Halafu aone kama linafaa kuwekeza bongo..
trust me i see no fun on this
Inatakiwa raisi wetu akienda europe tena akajaribu kubembea na hilo..sio kubembea jamaica tuu. Halafu aone kama linafaa kuwekeza bongo..
ha ha ha mkwere bana
Ukilipnda hili Gurudumu utasikia Kizunguzungu kama hujalizoea na kama una Pressure usilijaribu unaweza ukazimia. Watu weupe michezo yao kusema ukweli inatisha sana sijuwi wanafikiria kitu gani hao Wazungu?
heheheheh!