Hivi hili dude ukipanda unajisikiaje?? wa ughaibuni mtujuze...

Nikipata katrip kakuja ughaibuni ntajaribu hili dude..sema sijui kama ni zuri kiafya??
wa ughaibuni mpooo?

we mchaga tembelea kigamboni si lazima uende huko ughaibuni, utaendaje wakati hata passport hauna? na aliitwi dude na ushamba wako nami nauwacha hivyohivyo!!!!!!!!!!1
 
Hilo dude burudani tu,tena linasaidia kupunguza stress:embarrassed:
 
Nilishituka sana baada ya kuona neno DUDE maana kikwetu ni sehemu ya siri ya uzazi ya mwanaume!!Mkuu angalia sana matumizi yako ya lugha ya kiswahili!!!
 
TUKUTUKU tatizo wapwani mnatafsiri kila kitu matusi?????????????????????????????
 
we mchaga tembelea kigamboni si lazima uende huko ughaibuni, utaendaje wakati hata passport hauna? na aliitwi dude na ushamba wako nami nauwacha hivyohivyo!!!!!!!!!!1

Huwezi jua maybe one day i will make it, yapo ya speed na size mbali mbali so inategemea kigamboni kama nalo ni la watu wazima au watoto.... linaitwaje hili bembea?
 
Nilishituka sana baada ya kuona neno DUDE maana kikwetu ni sehemu ya siri ya uzazi ya mwanaume!!Mkuu angalia sana matumizi yako ya lugha ya kiswahili!!!

Mkuu Hitler heshima yako...sijuio jina la kitaalam la hili kitu..
 
kaka nilipanda moja linalofanana na hilo pale Ceder Point, NIlisikia kama moyo unaachana na mwili, ni hatari sana haya madude ila watoto wa kizungu wanakaa kwenye foleni mua mrefu kusubiri zamu yao wapande
 
bora ukuti ukuti tu!
 
Nilishituka sana baada ya kuona neno DUDE maana kikwetu ni sehemu ya siri ya uzazi ya mwanaume!!Mkuu angalia sana matumizi yako ya lugha ya kiswahili!!!
Kaazi kwaelikweli
 
Nilishituka sana baada ya kuona neno DUDE maana kikwetu ni sehemu ya siri ya uzazi ya mwanaume!!Mkuu angalia sana matumizi yako ya lugha ya kiswahili!!!

ha ha ha! Ndio maana ulifungua post haraka haraka.
Ila hata mimi nimestuka kidogo nikapata hamu.
 
Nikipata katrip kakuja ughaibuni ntajaribu hili dude..sema sijui kama ni zuri kiafya??
wa ughaibuni mpooo?

usisumbuke kwenda ughaibun kujua hali inakuwaje, just panda meli elekea mtwara, jibu sahihi utapata
 
Back
Top Bottom