Luca Paguro
Member
- Mar 26, 2023
- 85
- 130
Asikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu yenye joto kushinda Ruangwa (Ruangwa mjini, Lindi Tanzania)
Jana mchana temperature ilifika 37°C. Leo ilifika 36°C. Yani hapa nawasha feni hadi nachoka. Natoka nje kifua wazi ila wapi. Mbona zamani haikuwa hivi au global warming inapamba moto? Najihisi kuungua kabisa
Watu wa Njombe, Mbeya, Iringa nk msikanyage huku mtakufa 😂😂