Hivi hili joto ni Ruangwa tu ndio limetuzidia au Tanzania nzima?

Hapo hakuna joto, nenda Zanzibar ndio utajua hujui.
Zanzibar nilienda December mwaka jana kuzurula. Nilikaa wiki eneo fulani linaitwa Machui na kila siku nikawa naenda Stone town kuzurula ila joto lake halikuwa hivi.

Leo Jumapili kidogo kuna kaupepo na mawingu yametanda ila jana ilikuwa sio poa
 
Nenda kuanzia mwezi wa kwanza na wapili

Back
Top Bottom