Luca Paguro
Member
- Mar 26, 2023
- 85
- 130
Ukiona hivyo ujue mvua imekaribia.Asikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu yenye joto kushinda Ruangwa (Ruangwa mjini, Lindi Tanzania)
View attachment 3176592
Jana mchana temperature ilifika 37°C. Leo ilifika 36°C. Yani hapa nawasha feni hadi nachoka. Natoka nje kifua wazi ila wapi. Mbona zamani haikuwa hivi au global warming inapamba moto? Najihisi kuungua kabisaView attachment 3176597
Watu wa Njombe, Mbeya, Iringa nk msikanyage huku mtakufa 😂😂
Apa Nachingwea hali ni iyo iyoAsikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu yenye joto kushinda Ruangwa (Ruangwa mjini, Lindi Tanzania)
View attachment 3176592
Jana mchana temperature ilifika 37°C. Leo ilifika 36°C. Yani hapa nawasha feni hadi nachoka. Natoka nje kifua wazi ila wapi. Mbona zamani haikuwa hivi au global warming inapamba moto? Najihisi kuungua kabisaView attachment 3176597
Watu wa Njombe, Mbeya, Iringa nk msikanyage huku mtakufa 😂😂
Ila mwaka huu limezidi jmnJoto la December mikoa ya Pwani ni kawaida kipindi hiki...
Mmmh.. mbona mnatutisha 😀Mjiandae kwa mafuriko.
Chukueni tahadhari
Inaonekana ni huu ukanda woteApa Nachingwea hali ni iyo iyo
Hapo ukutane na mtu amekunya bila kuchamba utaelewaIla mwaka huu limezidi jmn
Wewe unatokea wapi ambapo Hamchambi.Hapo ukutane na mtu amekunya bila kuchamba utaelewa
Ruangwa miti ipo mingi, sio shida hata. Huku ni tofauti na Dodoma miti ni mingi ila tu joto limezidi ni nature yake kuwa na joto na mabadiliko ya tabia nchi pia yamechangiaMajaliwa,alisahau kuhamasisha wananchi huko waoteshe miti??
Mtu wa ajabu sana!
BariadiWewe unatokea wapi ambapo Hamchambi.
Watu wa Hovyo itakuwa
Ila wasukuma bana 😀😀Bariadi