Hivi hili la mzumbe university limekaaje?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Naomba kueleweshwa wadau,nilikua naangalia prospectus ya mzumbe,naona hawa jamaa wao hadi mtu anagraduate anakua amesoma course 25 tu,wkt chuo kama sua mtu anaesoma agro-economics hadi anagraduate anakua ana courz zaid ya 40,udsm mtu wa bcom anagraduate na 36,sasa naomba kujuzwa,ivi hzo kozi 25 za mzumbe zimeandaliwa ktk mfumo gan ambao unamfanya mhitimu awe wide ktk fani yake husika.Angalizo,sina lengo la kupambanisha vyuo hapa.
 
Pale hamna ki2.kile chuo hovyo kabisa! Halafu angalia wakimaliza kila m2 ana GPA za kufa m2.Yaani bora Saut,Udom.!
 
Harafu ukitaka masters bila kuingia darasani nenda Mzumbe ya Dar, maana utamtuma mtu atakulipia ada, atafanya registration, na utaongea na walimu wa pale utafanyiwa kila kitu mpaka dissertation na hizo dissertation huwa hawasomi wanasign tu. Lakini huo mfumo wa mzumbe ndo unaenea sehemu nyingi za Tanzania except UDSM kidogo bado wana standards when you compare with other tz universities.
 
Pale hamna ki2.kile chuo hovyo kabisa! Halafu angalia wakimaliza kila m2 ana GPA za kufa m2.Yaani bora Saut,Udom.!

Mwaka jana UDOM waliwaachisha kazi walimu wawili wa computer department baada ya kugundua 'kichwani hamna kitu' ingawa walikuwa na First class. Lakini hii haina maana wote wako hivyo, wapo wengine wenye akili timamu pia.
 
Hili la mzumbe lakuangaliwa pia, maana hata huku makazini wakuu, kuna wakati mtu unajiuliza iweje mtu graduate lakini vitu vidogo kwake ni kama amezaliwa leo. Lakini tuyaache, isije ikazaliwa ile hoja ya uvyuo
 
sio mnakaa na kuongea tu tuliosoma pale tunafahamu hizo course 25 ni nondo kiasi gani,ulitaataka tusome course zaidi ya 40 kani tunachukua Cancelling au sociology pale
 
Bado, ni miaka 50 ya uhuru,ubora wa vyuo duniani cha kwetu kimojawapo ni cha 130.So unategemea nini hapo? So hata elimu bado iko chini sana hata kama wanadai eti wana watu waliosoma,wamesoma katika ubora upi? ndio maana watoto wao au ukiangalia cv zao wame graduate Havard,Boston.Kent,Manchester Universities n.k
 
sio mnakaa na kuongea tu tuliosoma pale tunafahamu hizo course 25 ni nondo kiasi gani,ulitaataka tusome course zaidi ya 40 kani tunachukua Cancelling au sociology pale

ndio tunaomba utugawie huo unondo wenu mkuu.
 
Kuhusu masters ni kweli kuna jamaa yeye alisoma course work darasani tu baada ya hapo akalipa mtu pesa kumuandalia research proposal, kwenda kukusanya data, kufanya analysis na kuandika dissertation mwisho anakabidhiwa thesis yake kui sign na kuipeleka kwa supervisor. Mind you sio wote wanaofanya hivyo!!!!!!!!
 
acheni upuuzi na manmeno ya mtaani angalikeni kwa umakini nimesoma cheti udism dip tumaini bach mzumbe nakiri elimu ya mzumbe japo sio nzuri sana ina complecation hasa kwa miaka ya karibuni its the only chuo no 1 can get GPA 5 POINTS ,CHUNGUZENI
 
Sina hakika kama idadi ya courses ni issue ya kusimama pekeyake katika kuonesha ubora wa degree za Chuo fulani kwa kulinganisha na vingine. Mleta mada azungumzie "credit hours" ambazo ndiyo msingi wa hayo mambo yenu nyie wasomi. Je, ili kupata Bsc pale SUA au BA pale UD, UDOM, SJUT au Makumira on average mwanafunzi anapaswa kucover credit hours ngapi? Tuanzie hapo.

Tuendelee kujadili bila jazba wakuu.
 
Kwa haya uliyoandika hapa umetudhihirishia jamvini kuwa mzumbe sio chuo makini kwa kuzingatia std kama wewe ni moja ya product za pale.Kwenye hayo maneno niliweka color sijui unamaanisha nini.? Kwa hiyo chuo kikiwa na complication ndio kigezo cha elimu bora?
acheni upuuzi na manmeno ya mtaani angalikeni kwa umakini nimesoma cheti udism dip tumaini bach mzumbe nakiri elimu ya mzumbe japo sio nzuri sana ina complecation hasa kwa miaka ya karibuni its the only chuo no 1 can get GPA 5 POINTS ,CHUNGUZENI
 
Sina hakika kama idadi ya courses ni issue ya kusimama pekeyake katika kuonesha ubora wa degree za Chuo fulani kwa kulinganisha na vingine. Mleta mada azungumzie "credit hours" ambazo ndiyo msingi wa hayo mambo yenu nyie wasomi. Je, ili kupata Bsc pale SUA au BA pale UD, UDOM, SJUT au Makumira on average mwanafunzi anapaswa kucover credit hours ngapi? Tuanzie hapo.

Tuendelee kujadili bila jazba wakuu.

kwa credits hours,mzumbe hadi mtu anagraduate,anatakiwa awe nazo 60,yani 10 per each semister nd 2@cours,udsm mtu anatakiwa awe nazo 108 yan 18 @semister nd 3@cours,sua anakua nazo 72, 12@semistr
 
acheni upuuzi na manmeno ya mtaani angalikeni kwa umakini nimesoma cheti udism dip tumaini bach mzumbe nakiri elimu ya mzumbe japo sio nzuri sana ina complecation hasa kwa miaka ya karibuni its the only chuo no 1 can get GPA 5 POINTS ,CHUNGUZENI

me cjakuelewa unazungumzia nin hasa mkuu.
 
kwa credits hours,mzumbe hadi mtu anagraduate,anatakiwa awe nazo 60,yani 10 per each semister nd 2@cours,udsm mtu anatakiwa awe nazo 108 yan 18 @semister nd 3@cours,sua anakua nazo 72, 12@semistr

hii ngumu kumeza
 
Naomba kueleweshwa wadau,nilikua naangalia prospectus ya mzumbe,naona hawa jamaa wao hadi mtu anagraduate anakua amesoma course 25 tu,wkt chuo kama sua mtu anaesoma agro-economics hadi anagraduate anakua ana courz zaid ya 40,udsm mtu wa bcom anagraduate na 36,sasa naomba kujuzwa,ivi hzo kozi 25 za mzumbe zimeandaliwa ktk mfumo gan ambao unamfanya mhitimu awe wide ktk fani yake husika.Angalizo,sina lengo la kupambanisha vyuo hapa.

Acha kutumia Masaburi wewe mtoto wa Cameron,mimi kama mimi nina kozi 34!!
Nyambavu wewe
 
kwa credits hours,mzumbe hadi mtu anagraduate,anatakiwa awe nazo 60,yani 10 per each semister nd 2@cours,udsm mtu anatakiwa awe nazo 108 yan 18 @semister nd 3@cours,sua anakua nazo 72, 12@semistr

Ok, sasa tunaanza kuelewana.
 
Acha kutumia Masaburi wewe mtoto wa Cameron,mimi kama mimi nina kozi 34!!
Nyambavu wewe

nikuambie kitu we chalii,usintafutie ban ya nguvu..ni vema uulze kwanza ni program gan zinazozungumziwa hapa na co unaleta u.m.a.l.a.y.a. wako wa huko mzumbe hapa jf.
 
acheni upuuzi na manmeno ya mtaani angalikeni kwa umakini nimesoma cheti udism dip tumaini bach mzumbe nakiri elimu ya mzumbe japo sio nzuri sana ina complecation hasa kwa miaka ya karibuni its the only chuo no 1 can get GPA 5 POINTS ,CHUNGUZENI

kazi kweli kweli!!!!!!! Graduate mzima, argument zero na spellings sifuri. Hatuna haja ya kuendeleza hii debate wewe umefunga kazi, umeonyesha uhalisia kwa matendo!!!!!!Lakini jamani kuna graduate wachache wa Mzumbe wazuri.
 
Mzumbe chuo kizur tatizo labda ni wanafunz wapo wanao maliza kimagumash na wengine kwa kukomaa.
 
Back
Top Bottom