Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Naomba kueleweshwa wadau,nilikua naangalia prospectus ya mzumbe,naona hawa jamaa wao hadi mtu anagraduate anakua amesoma course 25 tu,wkt chuo kama sua mtu anaesoma agro-economics hadi anagraduate anakua ana courz zaid ya 40,udsm mtu wa bcom anagraduate na 36,sasa naomba kujuzwa,ivi hzo kozi 25 za mzumbe zimeandaliwa ktk mfumo gan ambao unamfanya mhitimu awe wide ktk fani yake husika.Angalizo,sina lengo la kupambanisha vyuo hapa.