wakuu naomba kuwa mkweli,
mzumbe ni chuo changu nimegraduate pale , ila kile chuo kina mapungufu yake kama ifuatavyo,
1. Mzumbe ukiwa na pesa za kutosha hata usipo soma unaweza ondoka gps kali sana, mfano kuna secretary mmoja wa department ya hrm, alikuwa ni bingwa wa kubadilishia wanafunzi max, ukimpa kilo moja anakutengenezea gps ya kufa mtu.
2. Mzumbe mitihani inavuja na nazani ndo chuo pekee hapa bongo ambacho huwa paper inavuja, nikiwa pale ilisha wahi vuja
3. Sababu ya kuoa gps nyingi ni kwamba hata paper huwa kuna walimu wanatoa maswali yatakayo toka kwenye peper na kweli ukiingia unayakuta kama yalivyo.
4. Na mitihani mzumbe huvuja kupitia kwa mademu, mademu pale mzumbe wanapewa sana maswali ya mitihani, ilikuwa ikikalibia kipindi cha paper watu walikuwa wanaanza kuwa kalibu na mademu.
5. Walimu wengi wa mzumbe wana qualification za kuunga uunga sana na kama mtakumbuka mwaka jana au juzi kuna walimu kama watatu walinyang'anywa u doctor wao kisa wamesoma kwenye vyuo visivyo tambulika so wale walimu hata class hufundisha mambo mepesi mepesi tu,
wakuu c jaandika hapa kupondea chuo ila nilicho kiandika ni cha ukweli asilimi 100, kama kuna mtu anabisha basi apinge kwa hoja na c polojo