Hivi hili linawezekana kweli?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Hello wana jf!!nina mdogo wangu wa kiume ambae anatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu,huyu bwana mdogo ana galfriend wake ambae pia ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja kilichoko mkoan morogoro mwaka wa pili,kiumri huyu dogo anamzidi huyo galfrd wake kama mwaka m1 au miwil hvi,so me nauliza inawezekana kweli kukawa na mapenz kati hawa wawili kwa kulinganisha level zao za elimu,kwamba mdada yupo juu nd dogo ndo kwanza anaanza 1st yr au wanadanganyana 2?
 
Sasa wewe wasiwasi wako nini na hakuna mtu anaeweza kupa ushauri wa uhakika kwakuwa hujatueleza kama wanamatatizo yoyte nakuwa mschana kuwa mbele yake kijana inategemea anamhendo vipi na msichana anampenda kiasigani mkaka wako
 
Sasa tukiuliza maswali atatujibu nani ? tukizingatia wewe sio muhusika ?
 
Sasa wewe wasiwasi wako nini na hakuna mtu anaeweza kupa ushauri wa uhakika kwakuwa hujatueleza kama wanamatatizo yoyte nakuwa mschana kuwa mbele yake kijana inategemea anamhendo vipi na msichana anampenda kiasigani mkaka wako
wanazuga wanapendana,bt mim kama kaka m2,nijuavyo hawa watoto wa kike tena hasa wawapo vyuon huwa ni viwembe laana.
 
Bora useme2 ukweli kwamba huyo unayemwita mdogo wako ni wewe mwenyewe then tusemezane.
 
Sasa kama wanapendana hapo kinachoshindikana ni nini? Labda kama wanaigiza!!
 
sijaona jambo la kukutia hofu hapo mkuu...tafakari vyema.
 
sijaona jambo la kukutia hofu hapo mkuu...tafakari vyema.
Kasoro ipo keshasema kwamba wanazuga(akimaanisha wote wawili) lakini cha ajabu hofu yake ipo kwa msichana tu! Eti kwa kisingizio kuwa wasichana wanakuwa viwembe wakifika chuo na huyo mdogo wake anayezuga hapo tumwiteje?
 
Age ain't nothing but a number,unaujua huu mwimbo?
As long as mwanamke ndio mkubwa usijali dogo atalelewa fresh tu ila mtahadharishe mwanamke akijua kama anachakachua atmwagwa faster.Inawezekana in the name of love.
 


mkuu usimsemee moyo wake.........
 
mimi naona tatizo ni wewe hapa

umejiingiza sana kwa yasyo kuhusu

what if ni kweli wanadanganyana?
so what?

wewe linakuhusu vipi hapo?
 

mkuu nadhani your are sticking your nose where it doesn't belong ....
 
yaani kuwa na kaka kama ww ni kichefuchefu! ndo nyie mnavunjaga ndoa za watu kwa kuwaambia ndugu zenu 'huyu mkeo hawezi kupata promotion,lazma anatembea na wakubwa'! mediocre minds,kwani unadhani mwanaume aliumbiwa kutangulia tu?
 
mkuu usimsemee moyo wake.........

Tofauti ya umri na elimu si hoja kubwa kuliko kiwango cha kupendana kwao. Kama kila mtu au mmoja wao ni mbabaishaji basi hawatadumu. Mkuu Magulumangu, avatar yako ya nembo ya TRC waliyoiua vina uhusiano gani na historia yako?
 
inategemea wao wanaplan gani, mfano mzuri mimi na wangu me nimemzidi kielimu miaka miwili,naingia 3rd yr yeye ndo 1st yr nw nko job yeye ndo anamaliza bt kwa age kanizidi. So kuheshimiana kwao 2 na mipango yao.
 
Upendo wao wanaujua wenyewe..
Vingine ni baada ya hapo......
 

Badala ya kumsaidia mdogo wako asome (kwa kumlipia FEES, e.t.c), wewe unaongelea mambo ya girl friend? Halafu akifika Chuo anakwenda Bodi ya Mikopo na kulalama kuwa mkopo hautoshi, kumbe anahudumia na mtu mwingine! Shame! Nadhani sisi tumerogwa!!
 
Shida ya mambo haya ni hivi;
1.0 Kama kaka wakati wa kusoma kwake aliona mapenzi yanahatarisha shule yake lazima awe na wasiwasi na mstakabali wa dogo.
2.0 Iwapo kaka ana shida ya inferiority ya kuwa mwanamke akikuzidi umri kutakuwa na walakini wa penzi,
3.0 Iwapo dogo anasaidiwa mshiko na brother ana hofu na payback yake.
Kaa na dogo umueleweshe juu ya concern yako na aseme mwenyewe anaonaje hicho unachofiki. Aongea nae kwa busara maana mapenzi hayana kanuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…