Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Hello wana jf!!nina mdogo wangu wa kiume ambae anatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu,huyu bwana mdogo ana galfriend wake ambae pia ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja kilichoko mkoan morogoro mwaka wa pili,kiumri huyu dogo anamzidi huyo galfrd wake kama mwaka m1 au miwil hvi,so me nauliza inawezekana kweli kukawa na mapenz kati hawa wawili kwa kulinganisha level zao za elimu,kwamba mdada yupo juu nd dogo ndo kwanza anaanza 1st yr au wanadanganyana 2?