BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
habari ndo hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau,eti kuna rafiki yangu amebreak na gal wake hata week haijapita,jamaa kammiss gal,kajipendekeza kumpgia sim,gal kapokea fresh,ila ndo hvo mmanzi kamwambia mshkaji tayari ana mtu mwingne,hvi inawezekana kwel ndan ya wk mtu abreak na kudate na jamaa mwingne au maghumashi tu?
Ndoo maana watu wengine wanaamua kula ukameruni nasikia hakuna mizegwe kila mtu ana mmoja tu,kama vipi j.i.u.n.g.e. Huko.
kama mimi mkuu.Mh!Hapa sijui hata niseme nini,nimebaki mtupu!
inawezekana kabisa kwa viruka njia. Mnaachana leo kesho anatoka na mwingine ALIYEKUWA KWENYE LIST ya kupewa nafasi.
ha ha ha kweli jf haiboi hata chembeUnashangaa nini, asubiri kwani yuko eda
Kusema ukweli mi nilikuwa sijui aisee.