Yaani mapenzi ya miaka hii ni balaa kabisa......sasa hapo anapendwa mtu au miwani?? na ya kivunjika?? Duu hii kali
Hivi guts za kujadili mapenzi wakati huu wa msiba mkuu wa taifa mnazitoa wapi wajemeni??? Naomba kuliko kupoteza muda hapa ni bora hata kutiana shime ni jinsi gani tutawasaidia wenzetu waliopatwa na maafa ya mabomu kule Gongo la Mboto.
Yaani mapenzi ya miaka hii ni balaa kabisa......sasa hapo anapendwa mtu au miwani?? na ya kivunjika?? Duu hii kali
SIMPLE, IKIVUNJIKA NA MAPENZI YAMEISHA.:msela:
Du jamaa yangu yapo majukwaa mengi mm naona ww uende kwenye Siasa au International au MOD akuanzishie la Rambirambi, majonzi uweke huko yooote Mbagala MV BukobaHivi guts za kujadili mapenzi wakati huu wa msiba mkuu wa taifa mnazitoa wapi wajemeni??? Naomba kuliko kupoteza muda hapa ni bora hata kutiana shime ni jinsi gani tutawasaidia wenzetu waliopatwa na maafa ya mabomu kule Gongo la Mboto.
Duh!