Hivi hili ni la kweli kuhusu wahitimu wa mzumbe university?


Marks vihiyo mzumbe ni nyingi,ukijumlisha na zile marks za chupi kwa wadada,tupe ufunuo zaidi ndyoko hao waliofeli ni wadada au? Itanisaidia kuverify data zangu
 

mkuu kwa hiyo unathibitisha kuwa tatizo hili lipo mzumbe tufunge thread au tujadili chanzo
 
Watanzania tuna matatizo sana, huna tofauti na wale wanaosema ufisadi ni wa mtu mmoja mmoja sio wa chama. Mara nyingi mfumo ndio unasababisha udhaifu wa watu husika

Umeongea point mkuu
 
Tuache unatani vyuo vyote Tanzania bado sana. Watu wanalishwa pumba tu, carriculum haziko up todate, watu wafundishwa mambo ambayo hayaendani na soko la ajira mtaani. Mimi nimeshuhudia graduate wa statistics UDSM hajui hata kutumia SPSS. Tunabaki kusifia tu or UD, mara SUA sijui passmark iko juu, mara Mzumbe shule yao fake. Mara Udom chuo cha kata. Haina maana kama passmark yako iko juu wala chini wakati watu wanafundishwa pumba tu, dunia ya sasa mambo yamebadilika sana. Vyuo viko busy vinandaa wanasiasa wala si watendaji.
 
How about udom?mbona ukisoma job advert nyingi zimemeandikwa qualified applicants from any university but not udom.
 
Mtasema sana kuhusu Mzumbe na kujaza magunia ya threads lakini katika performance kwenye labour market hususan ktk fani za business management [accounting, marketing, human resources] hamna chuo chochote hapa TZ kinachoweza ku compete na MU. Hilo halina mjadala
 

Mambo mengine ni magumu sana hasa mtu unapokuja na hoja (haijafanyiwa tafiti) kimsingi utakuwa unawalisha watu sumu. Mzumbe inayozungumzwa na mtoa mada hapa inawezekana ni ile anayoifahamu yeye, na kwa mtazamo wangu hoja hii imebebwa na samaki mmoja akioza wote wameoza, mathalani chukulia hoja ya UDOM kwa graduate wa MZUMBE kushindwa kumaliza masters zao na mbaya zaidi ni Tutorial Assistants wa mzumbe university kiukweli inatisha, ingawa inabidi iangaliwe kwa mapana yake yote.
 
Kuna watu wamekuwa wakiiponda MU kuanzia wakiwa vijana mpaka wanazeeka lakini bado ubora wa MU uko palepale. Nenda kaangalie hata competition ya ku join. Huwezi kwenda pale na vi credit vya mawazo
 
mkuu kwa hiyo unathibitisha kuwa tatizo hili lipo mzumbe tufunge thread au tujadili chanzo

Mimi kama siwezi moja kwa moja nikasema kwamba MU hakuna weakness,kitu ambacho napinga ni hli swala la huyu KILAZA SENETOR kubet kwa UDSM ndio kila kitu!!
Kwa data za senetor ni kukivunjia heshima chuo cha mzumbe,kwanza kwa mtu mwenye akili timamu hawezi akafanya equal comparison kati ya Udsm na MU,Kwanza unapaswa kujua MU na UDSM lini vimeanzisha??halafu unapaswa kufanya tathmini ya kile unachotaka kufanya!!sio ku-generalize mambo tu kama VILAZA ambao munatoa -ve perception kwa MU.
MU ni chuo ambacho kinajitahidi sana kutoa elimu bora,mpaka ukisikia watu hakiwatoki moyoni au kwenye vinywa vyao basi hapo ni mahara sahihi kabisa.
UDSM hakuna kitu,ni chuo cha siasa na migomo tu.Kweli nawaonea huruma sana vijana wa UD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…