Hivi hili ni la kweli kuhusu wahitimu wa mzumbe university?

Bongo elimu yetu kwa ujumla ni zengwe tu hilo halina ubishi.Lakini jamani katika vyuo vya umma ambavyo vina matatizo usipokitaja Mzumbe utakuwa hutendi haki,miaka michache iliyopita bodi ya TCU iligundua PHD hewa za wahadhiri pale,mpaka sasa idadi ya wahadhiri waandamizi(Hasa Professors) pale Mzumbe hairidhishi hata kidogo,kinachonitisha zaidi vyuo vingine vya serikali wanafunzi wanaodisco kila mwaka ni wengi lakini ni tofauti kabisa na wao,Graduates wa-Mzumbe pia huwa wanakuwa na GPA kubwa sana tofauti na vyuo vingine vya umma.Yaani GPA ya 5 siyo ishu kabisa pale.Halafu wanakatabia kakupokea wanafunzi ambao hawajafanya vizuri form six wanasoma mwaka mmoja then wanajoin undergraduate hii sijaiona vyuo vingine vya umma. Mimi naona mzumbe wamekaa kimaslahi zaidi kama vyuo vya Private lakini umakini hakuna kabisa.Halafu jamani hivi hii inakuwaje mpaka leo kwenye ENCYCLOPAEDIA Tanzania inasomeka inavyuo vikuu viwili tu yaani UDSM na SUA?
 
Nilipitia udsm ktk mchakato wa maisha yangu ya shule,sijutii kusoma udsm,na sijilaumu kwa kutosoma Mzumbe,na wala sipaswi kuonewa huruma kukatiza udsm,it waz a nice campus kwakwel,na najivunia kusema nilikua mwana-the hill,kipi unachowahurumia walosoma udsm?mr
 

we ndio dodoki kweli,mzumbe wana heshma gani ambayo unasema nimewavunjia,ina maana kama lichuo lako lina mapungufu watu tusihoji??we danganywa na hzo 1st class mnazoandkiwa na hao vilaza wenu hapo ukitegemea utaweza kupambana na vichwa vya udsm na sua!!
 
yale yale ya kama ya jana
 

Hii inadhihirisha wazi kabsaa ubwanyenye uliopo nchini katika sekta zote,yaan hata ku update tu informations hakuna,m2 unaingia kwenye website ya wizara au chuo unakutana na very old news and informations,hili nimeliona sana kwenye hizo sekta 2,bogus kabisaa,na ushahidi ninao wala asibishe m2
 

Khaa! Dodoki tena? Ndo una mana gani?
 
Nadhani kuna ukweli, Masters nimesoma Mzumbe Campus ya Dar sijutii kwa hilo ila kwa nilichokiona wale walisoma Mzumbe enzi za Advanced Diploma wako vizuri sana na ninadhani hata CAG Utoh alisoma enzi hizo lakini wale wa enzi za degree pia nilikuwa na doubt uwezo wao. Undergraduate nilisoma SUA na pale shule ilikuwa ya uhakika hasa enzi za Term system hata wanaosoma semister system kwa sasa wanalijua hilo, ambacho walinifundisha SUA ni kuwa na ule uwezo mpana wa kujitafutia na kupambanua mambo. SUA nawapa heko japo sasa nao hucomplicate mpaka inakuwa kero jamani.
 
Nimesoma UDSM na pia Mzumbe. Ninachoweza kusema ni kuwa Mzumbe do teach while UDSM do lecture! Chagua mwenyewe unapenda wapi. Hivo kama we kilaza kilaza tu usisingizie chuo! Rungwe anadigrii ya OUT na aligombea urais. Wewe uliye na ya Havard hata udiwani huwezi...chuo kipi bora?
 
Nyie pigeni porojo za vyuo tunawasubiri mtaani mu apply hizi kelele zenu! Njooni muajiriwe na makampuni ya walee ma form 4 failure! Uone atavyokuwa anakufanyia monitoring and evaluation za kimtaa!!
 
Na katika Intavyuu je,inakuwaje nako,hawapati kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…