Nasaluka,Nimejaribu kufanya utafiti mdogo juu ya historia ya tz hasa inayohusu harakati za uhuru na muungano sijaona inapatikana drs/kidato cha ngapi katika mitaala ya tz.
Swali langu linatokana na kiu ya kutaka kujua watoto wetu wanarithishwa nini huko mashuleni.?
Kinachofundishwa hapa ni yaliyofuata baada ya uhuru ni topic moja ya mwisho,hakna hstoria ya maana inayifundishwa.Form 5&6 history 1
Tuanze sasa kuandika historia ya Tanzania. Kiukweli haijulikani.Kinachofundishwa hapa ni yaliyofuata baada ya uhuru ni topic moja ya mwisho,hakna hstoria ya maana inayifundishwa.
Ni kweli,ila maalimu Mohamed Said amefunua mengi katika,Maisha na nyakati za Abdulwahd Sykes.Tuanze sasa kuandika historia ya Tanzania. Kiukweli haijulikani.
Nimekupata mzee wanguNasaluka,
Wala usiitabishe akili yako kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika
na historia ya Mapinduzi ya Zanzibar 1964.
Hatajapata ujasiri wa kuandika historia ya kweli ya Tanzania sasa
zaidi ya miaka 50.
Nimesoma historia ya uhuru wa Tanganyika Chuo Kikuu Cha
Dar es Salaam.
Kila siku nilikuwa nagongana na mwalimu wangu kwa kumueleza
kuwa hilo silo hili silo.
Nikamfahamisha kuwa naitoa makosa historia hiyo kwa kuwa wazee
wangu ndiyo walioasisi hizo harakati za uhuru na hapa sioni kutajwa.
Ingia hapa:
Mohamed Said: KUTOKA JF: BABU YANGU SALUM ABDALLAH
Nikawa katika semina wakati mwingine naachiwa nieleze historia ya
TANU na mambo yalivyokuwa.
Mwisho wa yote kwa kuchelea historia ya kweli isije kupotea nikaandika
kitabu, ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968) The
Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in
Tanganyika,'' Minerva, London 1998.
Kuhusu historia ya Mapinduzi ya Zanzibar, kitabu kilichoeleza ukweli ni
cha Dr. Harith Ghassany, ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru,'' USA,
2010.
Ingia hapa:
Free Downloading ya Kitabu
Nasaluka,Km kweli ndio hivyo mtoto ambae hatafika level hiyo inamaana hatakuwa na chembe ya historia ya nchi yake?!!
Balibaba...Ni kweli,ila maalimu Mohamed Said amefunua mengi katika,Maisha na nyakati za Abdulwahd Sykes.
Balibaba..Nakushukuru mkuu,Mohamed Said,inshallah,siku moja kuna watu wataendeleza pale ulipokomea.
Kama shule uliyosoma hukufundishwa historia ya Tanganyika na baadaye Tanzania kuna mawili. Moja inawezekana ulikuwa mtoro wa kukubuhu hivyo ulipitwa na vipindi na pili inawezekana ulipofundishwa yaliingilia sikio la kulia na kutokea kushoto.Nimejaribu kufanya utafiti mdogo juu ya historia ya tz hasa inayohusu harakati za uhuru na muungano sijaona inapatikana drs/kidato cha ngapi katika mitaala ya tz.
Swali langu linatokana na kiu ya kutaka kujua watoto wetu wanarithishwa nini huko mashuleni.?
Mengi kati ya uliyofundishwa wakati huo ni historia iliyopotoshwa.Ukiulizwa Damu ya Msanii Duly Sykes utasema ni mzaramo wa Mzenga maana ukoo wake hautajwi popote,Dr Vedasto Kyaruzi huwezi jua alikuwa ni nani.Wengi mnajua kwamba historia ya uhuru inaanza na Nyerere inaisha na Nyerere.Anachoulizia mleta mada,ni historia halisi ambayo haijapotoshwa kuwahalalisha watawala waleo.Historia muijuayo ni ya kwamba ZNP kilikuwa chama cha waarabu na kwamba ASP walikuwa hawamtambui sultan wakati hata ASP kama wangeshinda uchaguzi wa 1963,sultan angebaki.Kama shule uliyosoma hukufundishwa historia ya Tanganyika na baadaye Tanzania kuna mawili. Moja inawezekana ulikuwa mtoro wa kukubuhu hivyo ulipitwa na vipindi na pili inawezekana ulipofundishwa yaliingilia sikio la kulia na kutokea kushoto.
Nenda maktaba ya taifa ujikumbushe. Ila Tanganyika ilipata uhuru 1961. Anzia hapo kuja mbele au kurudi nyuma ujuwr vita ya majimaji ilipiganwa lini, akina Mkwawa, Kinjekitile Ngwale, Kimweri, Mirambo walifanya nini.
Maliambwiga,Kama shule uliyosoma hukufundishwa historia ya Tanganyika na baadaye Tanzania kuna mawili. Moja inawezekana ulikuwa mtoro wa kukubuhu hivyo ulipitwa na vipindi na pili inawezekana ulipofundishwa yaliingilia sikio la kulia na kutokea kushoto.
Nenda maktaba ya taifa ujikumbushe. Ila Tanganyika ilipata uhuru 1961. Anzia hapo kuja mbele au kurudi nyuma ujuwr vita ya majimaji ilipiganwa lini, akina Mkwawa, Kinjekitile Ngwale, Kimweri, Mirambo walifanya nini.
Naomba unitumie vitabu vyake mkuu pdf kama unavyo.Ni kweli,ila maalimu Mohamed Said amefunua mengi katika,Maisha na nyakati za Abdulwahd Sykes.