Hivi historia ya Tanzania inafundishwa drs/kidato gani?

Hivi historia ya Tanzania inafundishwa drs/kidato gani?

Akina Dully Sykes bwana waingizwe kwenye mitaala. Tena mitaala iseme wazi kabisa kuwa yule Mgalatia wa Butiama aliwalaghai wazee wa Kiislamu aliowakuta Dar wakamkaribisha vizuri halafu baadaye akawageuka. Mchango wa Waislamu na Uislamu vipewe nafasi kubwa aisee. Hapo ndipo tutaelewana!
 
Akina Dully Sykes bwana waingizwe kwenye mitaala. Tena mitaala iseme wazi kabisa kuwa yule Mgalatia wa Butiama aliwalaghai wazee wa Kiislamu aliowakuta Dar wakamkaribisha vizuri halafu baadaye akawageuka. Mchango wa Waislamu na waislamu vipewe nafasi kubwa aisee. Hapo ndipo tutaelewana!
Mzee mbona unatoka povu, bila kutaja dini haujisikii kabisa...
 
Mzee mbona unatoka povu, bila kutaja dini haujisikii kabisa...
We kweli fanatic!

Unafikiri kinachopiganiwa hapa ni akina Sykes kutajwa kwenye mitaala? Ishu ni kupuuzwa kwa mchango wa wazalendo wa Kiislamu na Uislamu kwa ujumla katika harakati za kupigania uhuru; na ubabe wa mfumo Galatia baada ya uhuru. Hili mbona liko wazi mkuu? Mnajificha ficha nini?

Sina ugomvi na hili na Historia ya kweli lazima iwekwe wazi haijalishi kama inamhusu nani. Mwanzoni nilikuwa mpinzani mkuu wa Sheikh Mohammed Said lakini baada ya kusoma kitabu chake cha akina Skyes nimejiridhisha kuwa pengine ni kweli kulikuwa na juhudi za makusudi za kufisha mchango wa Waislamu na Uislamu katika jitihada za kupigania uhuru. Wewe ita povu. Mi naita ukweli.
 
Tatizo lako moja tu , umejaa unafiki na siku zote dalili za mnafiki ni tatu nawe zote nakuona nazo..stop dramaz
 
Historia inafundishwa sana tena vizuri...japo chuo kikuu wanafundisha vizuri zaidi
 
Huyu mze mohamed said anatoa porojo za gerezani wala hajui kitu chochote kuhusu historia nje ya dar..
 
Tatizo lako moja tu , umejaa unafiki na siku zote dalili za mnafiki ni tatu nawe zote nakuona nazo..stop dramaz
Fanatic anamuita mwenzake mnafiki [emoji23][emoji23][emoji23]. Inaonekana una kipaji cha ajabu cha kusoma mioyo na mawazo ya watu mpaka kuona unafiki uliofichama. Naomba tuungane tufungue kituo cha ushauri nasaha au psychological services zinginezo tupige hela mkuu. Au hata kanisa kabisa tupige hela za Wagalatia. Are you in?
 
Fanatic anamuita mwenzake mnafiki [emoji23][emoji23][emoji23]. Inaonekana una kipaji cha ajabu cha kusoma mioyo na mawazo ya watu mpaka kuona unafiki uliofichama. Naomba tuungane tufungue kituo cha ushauri nasaha au psychological services zinginezo tupige hela mkuu. Au hata kanisa kabisa tupige hela za Wagalatia!
aaah, aaaah muungwana na ajabu mara nyingi unena kwa yaliyomo bila kusadikika,ila mnafiki uigiza ulimo na wema,
 
Inafundishwa University level "History of Tanzania"!! Huko unaambiwa kuwa Bibi Titi alimfundisha Nyerere kiswahili kwakuwa alikuwa kazoea Kizanaki sana!!!
 
aaah, aaaah muungwana na ajabu mara nyingi unena kwa yaliyomo bila kusadikika,ila mnafiki uigiza ulimo na wema,
2bf84180088fe89b5852e064186303dd.jpg
 
Huyu mze mohamed said anatoa porojo za gerezani wala hajui kitu chochote kuhusu historia nje ya dar..
Leonard Robert,
Ungesoma kitabu changu, ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes...''
usingesema naandika ''porojo,'' au sina nikijuacho nje ya Dar es Salaam.

Vizuri mtu kabla hujaingia katika mjadala ukakijua hicho unachojadili kwa
kufanya angalau utafiti kidogo.

Hebu angalia yaliyomo katika kitabu hicho:

1. Dedication
2. Acknowledgements
3. Table of Contents
4. Introduction
Part One
Abdulwahid Sykes 1924-1968
Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929

· The Old Town of Dar es Salaam and its Elite
· Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949
· World War One 1914-1918
· The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933
Chapter 2.The Second World War and Tanganyika’s Political Foundation, 1938-1945
· The Burma Infantry, 1942

Chapter 3. Dar es Salaam Dockworkers Movement 1947-1950
· Dar es Salaam Port, 1947
· Erika Fiah
· The Dockworkers’ Union, 1948
Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954
· The Tanganyika African Association, 1950
· TAA Political Subcommittee, 1951
· Tanganyika as a Mandate Territory
· Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950
· TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950
· The Meru Land Evictions, 1950
Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere
· The Story of Julius Nyerere, 1952
· Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954
Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953
Ally Kleist Sykes
Part Two
Mass Mobilisation and Independence 1954-1961
Chapter 7. Mass Mobilisation 1954
· The Elders’ Council and Nyerere’s Visit to the United Nations, New York, 1954
· Idd Faiz Mafongo
· The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950
· Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952
· Propagandists-The Bantu Group,1955
· Incorporation of Swahili Women’s Societies into the Struggle, 1955
· Football As a Political Weapon
Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces
· Central Province, 1955
· Southern Province, 1955
· Western Province, 1955
· Tanga Province, 1956
· TANU in Mombasa, Kenya, 1957
Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958
· The Tanga Strategy, 1958
· The Debate for Tripartite Voting
· Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958
· Independence, 1961
Part Three
Conspiracy Against Islam 1961-1970
Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970
· Islam: The Ideology of Colonial Resistance
· The First Muslim Congress, 1962
· Resistance to Change
· The Second Muslim Congress, 1963
· Proposal for an Islamic University, 1964
· The Politics of Islam, Church, State and the African Christian
Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis’
· Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis’
· Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968
· The Islamic National Conference, 1968
· Omissions Analysed
· Betrayal of Ideals
· Conspiracy Theory
· Epilogue
· Bibliography
 
Back
Top Bottom