Hivi hizi couples ziliishiaga wapi?

Hivi hizi couples ziliishiaga wapi?

Nakumbuka kama mwaka mmoja ama sio miwili kabla ya kujiunga JF kulikuwaga na couples kama mbili tatu hivi za hatari, nimesema za hatari kwa sababu walikuwa wanapendana kiasi cha kwamba ukiwa mgeni na forum unaweza kusema ni wanandoa.

Leo nimezikumbuka hizi baadhi tuweze kujua kwamba ziliishiaga wapi, walioana au waligombana au kiliendelea nini baina yao.

1.BISHANGA NA THE SECRETARY
2. NYANI NGABU NA FIDODIDO
3. HEAVEN ON EARTH NA LARA1

Mwenye kujua waliishia wapi atueleze na kama kuna zingine mnazikumbuka tunaweza pia kujikumbushia.

NB..dhumuni na lengo la uzi ni kuona jinsi gani wanaweza kuwa inspire wengine hasa members walio kwenye mahusiano kuweza kujua feedback zao.
[emoji16]no 3 wote wadada mbona!
Au hukujua?
 
Walianza kiutani utani humu.... baada ya kulana tu kila kitu kiliishia hapo!

Na ndivyo mahusiano mengi hasa ya mhemuko yanavyoishaga!

Nimeshika panga..... rusha povu uone!!!
Hakuna couple hapo kwenye hayo majina, couple zilizokuwepo hazijui angeuliza
 
ukisema usubiri kupendwa utakesha, we tafuta mdada yeyote mpende[emoji1787] hata kama ana mtu wake , ukikuta sehemu ka comment mquote useme “umecomment vizuri honey” kama maja alipomwambia jiwe “umeapa vizuri”
hahahaha,mbinu hz
 
Back
Top Bottom