Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
[emoji16]no 3 wote wadada mbona!Nakumbuka kama mwaka mmoja ama sio miwili kabla ya kujiunga JF kulikuwaga na couples kama mbili tatu hivi za hatari, nimesema za hatari kwa sababu walikuwa wanapendana kiasi cha kwamba ukiwa mgeni na forum unaweza kusema ni wanandoa.
Leo nimezikumbuka hizi baadhi tuweze kujua kwamba ziliishiaga wapi, walioana au waligombana au kiliendelea nini baina yao.
1.BISHANGA NA THE SECRETARY
2. NYANI NGABU NA FIDODIDO
3. HEAVEN ON EARTH NA LARA1
Mwenye kujua waliishia wapi atueleze na kama kuna zingine mnazikumbuka tunaweza pia kujikumbushia.
NB..dhumuni na lengo la uzi ni kuona jinsi gani wanaweza kuwa inspire wengine hasa members walio kwenye mahusiano kuweza kujua feedback zao.
Au hukujua?