Grace glory
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 374
- 531
Wewe unatakaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ni ya ukweli sema wanadamu wamebadilisha au kuongeza vitu kwa maslahi yao.simpleNi maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/TB Joshua, Lwakatare, yule wa Dodoma, Mwingira, Mzee wa Upako, Gwajima, Massanja, Flora, wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele. Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa.
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws.
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani? Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la? Kunani lakini?
Daah[emoji23][emoji23][emoji23]Bora dini ya ukristo uislamu unaambiwa ukifa unaenda kupewa wanawake 72 na tungi[emoji23][emoji23][emoji23]sasa unajiuliza hapo ni mbinguni au kitambaa cheupe [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kuna mambo ukifikiria sana utaona kuwa kuna watu wamepigwa.Daah[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mistari yoyote kwenye biblia iliyosema ukristo ni diniHakuna dini hata moja iliyokuwa salama, zote zilimezwa na mfumo wa dunia na ulimwengu.
Muumba angeamua kuhukumu asingepona hata mmoja.
Na kweli iliyokuwa imefichwa ni Muumba hana dini wala dhehebu au kabila bali yeye ni UPENDO ULIOPITILIZA unaofuta mauti.
Alisema mwenyewe Wakati ukifika ataishi ndani yetu wote,vyote na wote(isaya 57:15).
Ufunuo 21:3
Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.
Hata kama haijaandikwa kwenye biblia ni dini,budhisim ni dini,rastafar ni dini, uislam ni dini na nyinginezo nyingi.Hakuna mistari yoyote kwenye biblia iliyosema ukristo ni dini
AiseeNi maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/TB Joshua, Lwakatare, yule wa Dodoma, Mwingira, Mzee wa Upako, Gwajima, Massanja, Flora, wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele. Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa.
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws.
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani? Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la? Kunani lakini?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya dini za kikristo na Yesu Kristo mwenyewe. Na kwahiyo wapo wafuasi wa dini za kikristo wanazoanzisha watu na kupata hao wafuasi.Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/TB Joshua, Lwakatare, yule wa Dodoma, Mwingira, Mzee wa Upako, Gwajima, Massanja, Flora, wale walevi Afrika Kusini n.k. n.k.
Ukija KKT au Katoliki ni michango, kutengana na ubadhirifu wa sadaka kwenda mbele. Hivi kwanini wanaidhihaki hii dini?! Kwa Waislamu kesi hizi ni chache, wao na mtume wao poa tu, mdogo mdogo, ila Wakristo ni vituko kukicha tazama ya hawa USA sasa.
Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws Worshippers take assault rifles to church as they vow to protect US gun laws.
Toka lini dini za amani zikahusisha kubeba silaha za kivita Kanisani? Kama siyo kujaribiana na hata watoto wetu tunaowabambika hizi dini kuanza kutuuliza kama kweli Imani zetu zina mshiko au la? Kunani lakini?
bromimi najua dini moja tu ya kweli zingine zote ni za uongo zinajojiita za kikristo + za kisalamu.
zote kwa pamoja zinaitwa babilon mkubwa zote zitapata pigo moja hivi karibun
Vita yetu sio ya damu na nyama ,vita yetu ni yakiroho tu
Ukiristo ni njia yente mafundisho ya mungu wa ukweli. Na mafundisho hayo yako kwenye kitabu takatifu yaani biblia. Unapokwenda kanisani hufuati matendo ya mtu bali kusali na kujifunza mafundisho ya mungu. Usifuate matendo ya kiovu yanayofanywa na baadhi ga viongozi wa dini. Wengine wanatumiwa na shetani ili kuupaka matope ukristo. Shatani anajuwa ukristo ndiyo imani ya ukweli ya mungu, Hivyo anajaribu kuwapotosha walimwengu wasiiamini dini ya ukweli ya mungu.
Mbona unawaandama wakristo tu, Waislamu wenyewe wako sahihi?