Hivi hizi EFD machine , muuzaji analipaje kodi yake

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
621
Hivi wanapelekaje kodi TRA, mfano akikupa risiti . Je analipia kwenye account maalumu au wanamkata automatic kwenye account yake.
Az
 
Wanamkata moja kwa moja kwenye akaunti yake
 
Nadharia yangu.
EFD huwawezesha TRA kujua jamaa kauza sh ngapi kwa mwezi hivyo huweza kujua VAT n sh ngapi na KODI nyinginezo wanazohitaji kumkata mfanya biashara ni sh ngapi.

Baada ya hapo mfanyabiashara ndio anapata taarifa ya kiasi cha pesa anatakiwa kuwalipa TRA kwa msaada wa mhasibu (hapa kuna zile gharama nyinginezo mfanyabishara anaingia mfano umeme, usafiri, kodi ya pango n.k. hivyo mhasibu atamsaidia kufanya hizo calculation) hivyo mfanya biashara ndio anapeleka yeye mwenyewe kiasi pesa kwenye akaunti ya benki ya TRA

Note: Mimi sio mfanyabiashara wala mwanauchumi. Hivyo hiyo hapo juu ni nadharia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ndivyo ilivyo
 
Back
Top Bottom