Hivi hizi fine za trafic zilnalipwaje

Hivi hizi fine za trafic zilnalipwaje

Masasaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2015
Posts
586
Reaction score
629
Habari wanajamvi,
Wakuu nisaidie jinsi ya kulipa hizi faini za.mashine tunazopewa barabarani na trafic, nina kijikaratasi hapa cha fine ila nashindwa kulipa
Msaada please
 
Eee Ngoja waje wataalam maana HATA MIMI NINACHO KINANIZINGUA TU
 
Ingia tigopesa kisha nenda lipia bili, then chagua ingiza namba ya kampuni ambayo ipo kwenye hicho kikaratasi then ufuate maelekezo mengine

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu, nakwama kwenye reference number na jina la kampuni inayokuja ni TALA
 
ukiingiza namba ya kumbukumbu iliyopo kwenye hicho kikaratasi mwishoe italeta text kuwa umelipia kiasi kadhaa kwa jeshi la polisi
 
kisome vizuri hicho kikaratasi utaona namba ya kampuni 888...
 
Habari wanajamvi,
Wakuu nisaidie jinsi ya kulipa hizi faini za.mashine tunazopewa barabarani na trafic, nina kijikaratasi hapa cha fine ila nashindwa kulipa
Msaada please
Unaweza lipia bank ya nmb au kwa wakala yoyote ambae anauwakala wa nmb cha msingi uwe na ref no au nenda na kirisiti
 
Back
Top Bottom