Hivi Hizi Picha ni za Kweli...?

Hivi Hizi Picha ni za Kweli...?

Mwazange

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2007
Posts
1,056
Reaction score
82
Katika pita pita zangu mitaa ya kati nimekutana na picha hizi. Nimeambiwa kuwa iko kusini mwa bara la Africa, nikaonelea ni vyema nizilete hapa ili niweze kuelimishwa......Hivi ni kweli mti/miti hii ipo kweli au ni kiini macho??
 
Attachments

  • Tree1.jpg
    Tree1.jpg
    66.5 KB · Views: 264
  • Tree2.jpg
    Tree2.jpg
    77 KB · Views: 209
  • Tree3.jpg
    Tree3.jpg
    201.6 KB · Views: 190
  • Tree4.jpg
    Tree4.jpg
    93.1 KB · Views: 155
  • Tree5.jpg
    Tree5.jpg
    83.8 KB · Views: 149
  • Tree6.jpg
    Tree6.jpg
    58.3 KB · Views: 145
  • Tree7.jpg
    Tree7.jpg
    96.9 KB · Views: 125
  • Tree8.jpg
    Tree8.jpg
    59.2 KB · Views: 130
  • Tree9.jpg
    Tree9.jpg
    95 KB · Views: 148
  • Tree10.jpg
    Tree10.jpg
    117.8 KB · Views: 120
  • Tree11.jpg
    Tree11.jpg
    72.3 KB · Views: 124
  • Tree12.jpg
    Tree12.jpg
    57.7 KB · Views: 121
  • Tree13.jpg
    Tree13.jpg
    75 KB · Views: 151
...:Believe this and You Will believe Anything! ... James Hadley Chase.
 
Katika pita pita zangu mitaa ya kati nimekutana na picha hizi. Nimeambiwa kuwa iko kusini mwa bara la Africa, nikaonelea ni vyema nizilete hapa ili niweze kuelimishwa......Hivi ni kweli mti/miti hii ipo kweli au ni kiini macho??

Adobe photoshop...
 
kuna ambazo ni za kweli. Nature's beauty and wonders.
 
kuna ambazo ni za kweli.

Kama kweli ni nchi gani hiyo....Tukazuru...au tumpe assigment prezidaa wetu akatuchekie na atuletee na picha zaidi...!
 
Inaonekana kama kweli vile au miwani yangu inaisha nguvu nini?

Nature is beauty lakini nina wasi wasi na adobe photoshop kwenye picha nambari 2, 6, 8, 11, na 12...zilizobaki kuna uwezekano zikawa ni picha halisi. Mwazage miwani yako ni kama ya yule jamaa wa JF hahahahah usipite nayo mbele ya wakwe kwi kwi kwi
 
Kwa hiyo kuna binaadamu aliyekosa kazi sijui tuseme...akakaa na kufikiria kitu kama hiki....kweli binaadamu tuna talent tofauti.
 
Mwazange miwani yako ni kama ya yule jamaa wa JF hahahahah usipite nayo mbele ya wakwe kwi kwi kwi

Jamaa yupi huyo ten...?
Miwani hii ilinisaidia kupata mafiga ukweni.....waliniona ni msomi fulani mkuu.
 
Jamaa yupi huyo ten...?
Miwani hii ilinisaidia kupata mafiga ukweni.....waliniona ni msomi fulani mkuu.

Mkuu JF ina mambo kuna jamaa alikuja na story kuna miwani ukiivaa basi unamwona mtu utupu wake hahaha nikioona hiyo post nitakupa, very interesting nikiona mtu mwenye miwani ya myeusi naogopa...
 
Si mtu kachonga au? kwanini isiwe kweli
 
Katika pita pita zangu mitaa ya kati nimekutana na picha hizi. Nimeambiwa kuwa iko kusini mwa bara la Africa, nikaonelea ni vyema nizilete hapa ili niweze kuelimishwa......Hivi ni kweli mti/miti hii ipo kweli au ni kiini macho??

Kwani huko mitaa ya kati walikuambiaje ni kweli au?. Waulize vizuri uje na maelezo kamili ni wapi na ni nchi gani ili nijitolee kutembea hiyo nchi na kujua kama ni kweli na mimi nitachukua Moving pictures sio still kama hizi ili kupata ukweli, vinginevyo itakuwa kama ni kujadili nchi ya "kusadikika"
 
Hivi mshawahi kutembelea Manyara na ngorongoro mbona miti hiyo ipo mingi tu,inategemea unavyoipicture kwenye akili yako.
 
Mkuu JF ina mambo kuna jamaa alikuja na story kuna miwani ukiivaa basi unamwona mtu utupu wake hahaha nikioona hiyo post nitakupa, very interesting nikiona mtu mwenye miwani ya myeusi naogopa...
Kamanda hata mimi nimeiona... Tena nasikia ipo kwenye sale... up to 70% discount
 
Back
Top Bottom