Hivi Hizi SIJDA ni Fashion Kumbe. Ona Hapa

Hivi Hizi SIJDA ni Fashion Kumbe. Ona Hapa

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,027
Reaction score
5,344
Wasanii wetu na sijda. Kumbe sijda unaweza kuweka tu. 1427476851557.jpg
 
Attachments

  • 1427476869514.jpg
    1427476869514.jpg
    26.7 KB · Views: 784
Samahani cjaelewa chchte hapo

Kuna hizo alama usoni ambazo kwa waislamu ambao husali sana au mara kwa mara ndio hutokea kwakua wanagusa chini. Je hizo kwa hao wasanii ni kweli?
 
Mkuu umenichekesha hivi prof j ni muislam?ama mm ndio sijui?hlf ni sajda gani inayokaa kichwani badala kwenye paji la uso kwa upande wa t.i.d hiyo picha ni zamani nafikiri alikuwa anaswali kipindi cha nyuma.
 
Hiyo ya prof.yaonyesha ni kovu tu.kwanza huyo si mkristo?
 
Mkuu umenichekesha hivi prof j ni muislam?ama mm ndio sijui?hlf ni sajda gani inayokaa kichwani badala kwenye paji la uso kwa upande wa t.i.d hiyo picha ni zamani nafikiri alikuwa anaswali kipindi cha nyuma.

Kwahiyo unataka kuniambia kuna kipindi T.I.D alipiga ibada mpaka ikatokea hahaaaaa
 
Kwahiyo unataka kuniambia kuna kipindi T.I.D alipiga ibada mpaka ikatokea hahaaaaa

Inawezekana kipindi cha nyuma alikuwa anaswali,ila hizi sijda zinategemea na ngozi ya mtu mwengine wiki moja tu imeshatoka wengine wanaswali miaka na miaka hawana sijda na pia mahali unaposujudia kama unasujudia sehemu ngumu lazima itoke mapema.
 
Back
Top Bottom