Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 825
- 1,074
Habari za kwenu waungwana? In short niwe straight kwenye subject ni kwamba nina shida ya pesa ninayohitaji kwa haraka (kutokana na tatizo ambalo mm niko nalo kwa sasa) lakini pia hua naamini sana kuwa gambling ni moja kati ya chanzo cha kupata fedha kwa haraka..
Sasa nimekutana na hii kitu venye wanasema fixed match ambazo nyingi zinakua kwenye mfumo wa correct score , HT/FT n.k ambazo zinatoa odds kubwa kubwa ambazo ni mtaji kwenye gambling.
Hivyo nahitaji tupeane experience kidogo kuhusiana na hili jambo ukitoa ushuhuda au ushauri kuhusiana na upatikanaji wa hizo source, risk and so on
Kwasababu nimeamua kuchagua hii njia(Gambilng) kama utatuzi wa suala langu, nimeona ni vyema nije humu kupata madini kidogo ili nichanganye na akili zangu