Hivi hizi source zinazotoa fixed matches ni za kweli? Zipi Source za uhakika? Naomba ushuhuda kuhusu hilo

Hao ni matapeli tu wa mjini,
Wao pia wanabahatisha tu.
Unaweza kukuta Kwa mwezi mzima wamepatia mara moja pekee.
Nilishapigwa 200k Yani aliyeniuzia laki 1 na mkeka laki vyote vinaenda

Hahaha 🤣 dah Kaka umeongea Kwa uchungu sana
 
Mkuu sio za kweli...
Nakumbuka mimi mwenyew nikiwa na jamaa angu tulilipia account moja ya kenya kama 80k hivi kwa ajili ya kupata correct/fixed match lakini tuliambulia kublockiwa.
Hamna mchongo apo wanataka kukupiga, we mwenyew fikiria juventus waliwahi shushwa madaraja sababu ya kufix match, unadhani kuna timu yoyote ulaya mtu/watu watarisk kuweka gixed resulys?
Betting ni hisia/bahati/ utabiri na mwenendo tu.
Mf: AFCON tangu imeanza haijatoa FT over 2.5
Conc: ni heri hiyo hela unayotaka uwape uifanye mtaji kwa kuweka odds chache zenye high probabilities ya kukupa hela.
Nimekupata mkuu [emoji120]
 
Sasa si ulipie ili uje tupa mrejesho. Hutaki kuelewa eh
Alaf tazama muda wa hayo magoli yalivyopatikana....sometimes ina make sense View attachment 2078279
Screenshot_2022-01-12-15-56-19-510_eu.livesport.FlashScore_com.jpg
 
Habari za kwenu waungwana? In short niwe straight kwenye subject ni kwamba nina shida ya pesa ninayohitaji kwa haraka (kutokana na tatizo ambalo mm niko nalo kwa sasa) lakini pia hua naamini sana kuwa gambling ni moja kati ya chanzo cha kupata fedha kwa haraka..

Sasa nimekutana na hii kitu venye wanasema fixed match ambazo nyingi zinakua kwenye mfumo wa correct score , HT/FT n.k ambazo zinatoa odds kubwa kubwa ambazo ni mtaji kwenye gambling.

Hivyo nahitaji tupeane experience kidogo kuhusiana na hili jambo ukitoa ushuhuda au ushauri kuhusiana na upatikanaji wa hizo source, risk and so on

Kwasababu nimeamua kuchagua hii njia(Gambilng) kama utatuzi wa suala langu, nimeona ni vyema nije humu kupata madini kidogo ili nichanganye na akili zangu

View attachment 2076988
Mkuu kama ni kujoin hebu wajaribu hawa naona subscribers ni wengi! Hawa sio correct scores bali ni rollover ya mwezi mzima. Ninashawishika sana kuwa join ila mtaji sina
 
Hapo sijaelewa
Hio ni channel ya Telegram mkuu, wana offer hicho ulichoulizia kwa subscription. Ukilipia unapata mikeka daily kwa mwezi mzima na kila siku ni mkeka mmoja uliochambuliwa vyema.

Ikiwa mfuatano wa kila siku ndio inaitwa Rollover... Ila wao option zao wanabadilisha sio kila siku ni correct score. Kila mkeka umebetiwa kwa aina tofauti.
 
Weka link..
 
Habari za kwenu waungwana? In short niwe straight kwenye subject ni kwamba nina shida ya pesa ninayohitaji kwa haraka (kutokana na tatizo ambalo mm niko nalo kwa sasa) lakini pia hua naamini sana kuwa gambling ni moja kati ya chanzo cha kupata fedha kwa haraka..

Sasa nimekutana na hii kitu venye wanasema fixed match ambazo nyingi zinakua kwenye mfumo wa correct score , HT/FT n.k ambazo zinatoa odds kubwa kubwa ambazo ni mtaji kwenye gambling.

Hivyo nahitaji tupeane experience kidogo kuhusiana na hili jambo ukitoa ushuhuda au ushauri kuhusiana na upatikanaji wa hizo source, risk and so on

Kwasababu nimeamua kuchagua hii njia(Gambilng) kama utatuzi wa suala langu, nimeona ni vyema nije humu kupata madini kidogo ili nichanganye na akili zangu

View attachment 2076988
Hakuna fixed match utapigwa
 
We jamaa hakuna kitu kama hicho, mimi nilikuwa na mwanangu fulani enzi za chuo , jamaa walikuwa wanataka elfu sabini kwa game ya fixed ila tukafanya ujanja wa kuwachezea mchezo sababu walikuwa wanataka waone screenshot ya pesa uliyotuma kwa m pesa, tigo pesa etc.

Basi vijana tukatengeneza maseji fake ya m pesa pale ikawa clear tukawaforwadia wakatupa hiyo game mzee, hamna kitu aisee. Ni uongo usijaribu jamaa utapigwa bure tu.
 
Hio ni channel ya Telegram mkuu, wana offer hicho ulichoulizia kwa subscription. Ukilipia unapata mikeka daily kwa mwezi mzima na kila siku ni mkeka mmoja uliochambuliwa vyema.

Ikiwa mfuatano wa kila siku ndio inaitwa Rollover... Ila wao option zao wanabadilisha sio kila siku ni correct score. Kila mkeka umebetiwa kwa aina tofauti.
Link
 
Back
Top Bottom