Hivi hizi source zinazotoa fixed matches ni za kweli? Zipi Source za uhakika? Naomba ushuhuda kuhusu hilo

Hao ni matapeli tu wa mjini,
Wao pia wanabahatisha tu.
Unaweza kukuta Kwa mwezi mzima wamepatia mara moja pekee.
Nilishapigwa 200k Yani aliyeniuzia laki 1 na mkeka laki vyote vinaenda

Hahaha 🀣 dah Kaka umeongea Kwa uchungu sana
 
Nimekupata mkuu [emoji120]
 
Mkuu kama ni kujoin hebu wajaribu hawa naona subscribers ni wengi! Hawa sio correct scores bali ni rollover ya mwezi mzima. Ninashawishika sana kuwa join ila mtaji sina
 
Hapo sijaelewa
Hio ni channel ya Telegram mkuu, wana offer hicho ulichoulizia kwa subscription. Ukilipia unapata mikeka daily kwa mwezi mzima na kila siku ni mkeka mmoja uliochambuliwa vyema.

Ikiwa mfuatano wa kila siku ndio inaitwa Rollover... Ila wao option zao wanabadilisha sio kila siku ni correct score. Kila mkeka umebetiwa kwa aina tofauti.
 
Weka link..
 
Hakuna fixed match utapigwa
 
We jamaa hakuna kitu kama hicho, mimi nilikuwa na mwanangu fulani enzi za chuo , jamaa walikuwa wanataka elfu sabini kwa game ya fixed ila tukafanya ujanja wa kuwachezea mchezo sababu walikuwa wanataka waone screenshot ya pesa uliyotuma kwa m pesa, tigo pesa etc.

Basi vijana tukatengeneza maseji fake ya m pesa pale ikawa clear tukawaforwadia wakatupa hiyo game mzee, hamna kitu aisee. Ni uongo usijaribu jamaa utapigwa bure tu.
 
Link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…